ANAESTHESIOLOGIST
Senior Member
- Dec 29, 2019
- 158
- 266
Hali ya hewa siyo rafiki Musoma Mjini Kuna mvua inanyesha tangu saa moja asubuhi. Huwezi amini watu wamefika na mvua hiyo, na Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hajafika, bado yuko Mwanza.
Haijapata kutokea!
Mgombea Urais kupitia Chadema Tundu Lissu ameingia Musoma kwa Shangwe kubwa huku mji ukiwa umesimama kupisha ujio wake.
Lissu ambaye Yuko katika ziara ya kusaka wadhamini ameingia mjini Musoma kwa kishindo kikubwa.
Akiwasalimu maelfu kwa maaelfu waliojitokeza kumlaki Lissu ameendelea kumwaga sera kadhaa mojawapo inayovutia wananchi Ni ile ya kutoa Uhuru wa watu kuzungumza, vyama kufanya shughuli za kisiasa na vyombo vya Habari kuwa huru.Pia kufanyia marekebisho makubwa Idara ya Habari Maelezo, TCRA na TRA.
Wachambuzi wa kisiasa hapa Musoma wamesema haijawahi kutokea mwanasiasa akalakiwa na umati mkubwa hivyo katika mji huo tangia nchi ipate Uhuru
Lissu ameueleza umati huo kuwa kwa Sasa anatafuta tu wadhamini na kipindi Cha kampeni ndiyo ataeleza rasmi mustakabali wa nchi yetu .
#Niyeye2020