Uchaguzi 2020 Musoma yarindima Lissu akilakiwa kwa Shangwe kubwa, fomu za dhamana zajazwa

Mkuu taratibu,mleta mada ameeleza kuwa hayo ni maandalizi ya K umpokea Lissu jimbo la Musoma Mjini,LISSU yuko njiani kuelekea huko
Sawa lakini kwanini anakazana kuamzisha uzi uwanjani hakuna watu ?
 
Lowasa akishinda na maalim Seif alishinda na Tundu Lissu anaenda kushinda........
Lowasa alikua nyanya nyanya na alikua bado Mwana ccm..... Tundu Lissu yuko ngangali nadhani umemsikia

Kasema..... Sasa baaasssss....... Tumechoka
Time will tell
 
Sawa lakini kwanini anakazana kuamzisha uzi uwanjani hakuna watu ?

Read between the line ,Kuna mvua,Mh.Lissu hajafika lakini tayari shamrashamra zimeshaanza.Unaanzisha mada anapointi kubwa ukitulia vizuri
 
Aliyekuloga kafa, hatujawahi, hatutawahi, na haitakaa itokee tuwe na rais kiwete na kichaa nchi hii

Naona aliyekuroga wewe kafa tena hata mwezi haujafika , kwani ni yeye ndiye aki force matokeo ya uchaguzi kila uchaguzi, hasa huku Zanzibar, alikuwa akija siku ya kuhesabu kura na kupindisha matokeo . Mara ya mwisho alishindwa na ikabidi wamteke Jecha
 
Yani kama CHADEMA haikuchukua nchi wakati wa Lowassa sidhani kama itaweza mara hii kwa maana Lowassa alikuwa na nyomi la kufa mtu, Serikali ndiyo ile ile, NEC ndiyo ile ile, Polisi ndiyo wale wale
Mlifanyà nini na tallying stations? Maneno mengi tu lakini level field hamuitaki. Safari hii Mkurugenzi wa NEC akifanya ujinga lazima aoshe rungu ya mtu.
 
Time will tell and read between the lines
 
Yani kama CHADEMA haikuchukua nchi wakati wa Lowassa sidhani kama itaweza mara hii kwa maana Lowassa alikuwa na nyomi la kufa mtu, Serikali ndiyo ile ile, NEC ndiyo ile ile, Polisi ndiyo wale wale
Lakini mgombea sio yule yule wa kumwachia Mungu. Lowasa anaogopa kulala mahabusu. Lisu haogopi.
 
Ngoja tuone to fight a battle pia unahitaji hata wafuasi wawe na roho ngumu kama wewe siyo wale wanaona polisi wakifanya mchaka mchaka basi siku ya maandamano hakuna hata anayejitokeza barabarani
 
Harafu musoma sehemu gani anakuja mbona mi nipo harafu sioni harakati zozote

Mkuu utaziona vipi harakati na uko vichakani unapika GONGO ?? Umejiajiri ndio ajira hiyo ya CCM
 
Ngoja tuone to fight a battle pia unahitaji hata wafuasi wawe na roho ngumu kama wewe siyo wale wanaona polisi wakifanya mchaka mchaka basi siku ya maandamano hakuna hata anayejitokeza barabarani
Na kamanda ukiwa na roho nyepesi kama ya Lowasa huwezi kupata wafuasi shupavu. Uliona ile mikwala ya Sirro watu kutoenda airport. Watu wameenda na ka freeze. Alikuwa ana beep na karejeshewa. Lissu sio Mange Kimambi!
 
Time will tell ngoja tuone
 
Back
Top Bottom