Uchaguzi 2020 Musoma yarindima Lissu akilakiwa kwa Shangwe kubwa, fomu za dhamana zajazwa

Uchaguzi 2020 Musoma yarindima Lissu akilakiwa kwa Shangwe kubwa, fomu za dhamana zajazwa

Jiwe kajificha anapanga nitoke vipi

Kapilimba alitoa taarifa ya kijasusi kuonyesha Lissu na Zitto ndio wanasiasa wenye ushawishi zaidi
Kuelekea uchaguzi 2020 akaishia kutumbuliwa sasa ndio naelewa kwamba idara ya usalama wa taifa inajuwa nani rais ajaye.
Matokeo baada ya uchaguzi yatakuwa CCM WAMEIBA KURA ZETU !!
Ndo kauli zenu tuombe tu uzima safari hii ushindi itakaoupata CCM ni wa karne.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Atatukana kila mtu. Hata huyo Bashiru na Mangula wajiangalie sana, anaweza kuwatukana hadharani kama alivyomtukana Gambo jukwaani Arusha kipindi kile cha hama hama. Mtu anayeweza kupambana na Lissu jukwaani ni Nape akisaidiwa na January background
Kwani kampeni zimeisha anza, na pia muda wa yeye kujibu mapigo bado
 
Matokeo baada ya uchaguzi yatakuwa CCM WAMEIBA KURA ZETU !!
Ndo kauli zenu tuombe tu uzima safari hii ushindi itakaoupata CCM ni wa karne.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkubwa, huu ni mwaka 2020...!!

Achana na yaliyopita. Mwaka huu hamtaiba. Na mkiiba ndiyo mtajua kuwa, kunbe nchi hii ni ya watu wa Mungu, siyo yenu nyie kakikundi kadogo ka watawala....!!
 
Mkubwa, huu ni mwaka 2020...!!

Achana na yaliyopita. Mwaka huu hamtaiba. Na mkiiba ndiyo mtajua kuwa, kunbe nchi hii ni ya watu wa Mungu, siyo yenu nyie kakikundi kadogo ka watawala....!!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kwahiyo mjipange kwa hilo "TUMEIBIWA"
Na kwasababu hilo neno tumeisha lisikia mara nyingi.
Sasa uje kivita uone moto wake mpaka mtakaosalimika mtakuwa wakimbizi hapo Kenya.
 
Nipo musoma tena mtaani lakini naona boda boda tu hapa mtaani kwangu pako shwari
 
Back
Top Bottom