damper
JF-Expert Member
- Feb 27, 2011
- 773
- 835
Matokeo baada ya uchaguzi yatakuwa CCM WAMEIBA KURA ZETU !!Jiwe kajificha anapanga nitoke vipi
Kapilimba alitoa taarifa ya kijasusi kuonyesha Lissu na Zitto ndio wanasiasa wenye ushawishi zaidi
Kuelekea uchaguzi 2020 akaishia kutumbuliwa sasa ndio naelewa kwamba idara ya usalama wa taifa inajuwa nani rais ajaye.
Ndo kauli zenu tuombe tu uzima safari hii ushindi itakaoupata CCM ni wa karne.
Sent using Jamii Forums mobile app