Mathanzua
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 17,251
- 22,929
Akili zingine bwana,mufilisi kabisa,huo uraisi uko wapi hapo.Jiandaeni kuchanga hela za Wabelgiji aliozokopa alipowaahidi kwamba akiwa Rais atawapa dhahabu ya Watanzania kwa bei ya kutupaHali ya hewa siyo rafiki Musoma Mjini Kuna mvua inanyesha tangu saa moja asubuhi. Huwezi amini watu wamefika na mvua hiyo, na Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hajafika, bado yuko Mwanza.