Uchaguzi 2020 Musoma yarindima Lissu akilakiwa kwa Shangwe kubwa, fomu za dhamana zajazwa

Uchaguzi 2020 Musoma yarindima Lissu akilakiwa kwa Shangwe kubwa, fomu za dhamana zajazwa

Hali ya hewa siyo rafiki Musoma Mjini Kuna mvua inanyesha tangu saa moja asubuhi. Huwezi amini watu wamefika na mvua hiyo, na Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hajafika, bado yuko Mwanza.

Akili zingine bwana,mufilisi kabisa,huo uraisi uko wapi hapo.Jiandaeni kuchanga hela za Wabelgiji aliozokopa alipowaahidi kwamba akiwa Rais atawapa dhahabu ya Watanzania kwa bei ya kutupa
 
Hivi si walisema upinzani umekufa baada ya manunuzi na biashara ya binadamu kushamili?Manunuzi hivi analala usingizi kweli lengo la manunuzi limefeli.
 
Jk alisema hivi namnukuu CCM haiwezi kumfia yeye ipo itakayemfia.
Yani kama CHADEMA haikuchukua nchi wakati wa Lowassa sidhani kama itaweza mara hii kwa maana Lowassa alikuwa na nyomi la kufa mtu, Serikali ndiyo ile ile, NEC ndiyo ile ile, Polisi ndiyo wale wale
 
w
Aliyekuloga kafa, hatujawahi, hatutawahi, na haitakaa itokee tuwe na rais kiwete na kichaa nchi hii
weka kumbukumbu maneno yako haya au kama kichwa bovu basi mpe mumeo akuhifadhie kisha ikifika siku akukumbushe
 
1597238329062.png
1597238340940.png



Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chadema Mhe Tundu Lissu akipokelewa Musoma mjini, Mhe Lissu ameongozana na Mgombea Mwenza, Salum Mwalim , leo Jumatano 12/08/2020.

#SasaBasi
#NoHateNoFear
#PeoplesPower
 
Magufuli huko alipo kavimba sana. Akija kutoka sijui atatoka na bomu gani. Kina Polepole wamepwaya. Nape na Kinana kidogo wanazijua siasa za nji hii.
Atatukana kila mtu. Hata huyo Bashiru na Mangula wajiangalie sana, anaweza kuwatukana hadharani kama alivyomtukana Gambo jukwaani Arusha kipindi kile cha hama hama. Mtu anayeweza kupambana na Lissu jukwaani ni Nape akisaidiwa na January background
 
Back
Top Bottom