Mussa Zungu ataka wananchi kujifunga mkanda kwa maendeleo yao, asema misaada inaenda kupungua kutokana na vita

Zungu ametaka kujivunia na kufunga mkanda kujenga wenyewe badala ya kutegemea misaada kwani inaenda kupungua kutokana na vita inayoendelea Ukraine
Kufunga mkanda ni pamoja na wabunge wa vyama vyote kuanza kulipa kodi. Yeyote anayepokea fedha ya watanzania kama mshahara anapaswa kulipa kodi ya PAYE.
 
Mwalimu Nyerere alipunguza mshahara wake wakati anawaambia wananchi wajifunge mkanda.

Waanze kwa mfano, wajifunge kwanza mikanda na wao.
 
Mkuu Zungu ukiwa mkweli si vizuri tu!!?

Sema marekani atapunguza misaada hasa kwenye shirika la AFYA WHO ambalo Ndio kichaka chetu cha misaada kwenye AFYA!!!

Ndio màana mmeua NHIF na kuingizwa Bima ya AFYA KWA wote WAKATI HATA NHIF hamjasema fedha ZETU tulizochangia ziko wapi!!?

Najua kutokuonyesha msimamo wetu tupo upande gani kwenye vita Ndio kumetuponza hadi matozo tumeyaingiza Ili kufidia elimu na AFYA si Ndio!!?

Sawa nyie hamlipi Kodi coz nyie ni miungu watu!

Mungu ibariki TANZANIA!!
 
Huyu anaongea nini, hakumbuki alivyokamatwa kwa rushwa halafu leo ndiyo naibu spika. SHAME ON YOU MUSSA AZZAN, Bado unayo kesi TAKUKURU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…