Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Serikali ndiyo inayokusanya na ku-allocate resources.Inaweza ku-allocate resources vibaya au vizuri,kwa hiyo ni upunguani kufikiri kuwa serikali haiplay role katika umasikini au katika maendeleo ya nchi.Kule nchi tajiri nchi ilitajirishwa na wananchi,akina Ford na magari yao ndiyo yaliyoijenga America,wewe na babu yako mmeifanyia nini Tanzania!?...umethubutu walau Kama don king kwenye ndondi!!?...au unajitahidi kuikosesha serikali mapato kwa kukwepa Kodi!?
Akina Ford na magari yao ili walete maendeleo katika Taifa ni lazima serikali iweke sera nzuri katika ukusanyaji kodi na katika matumizi ya kodi hiyo katika maendeleo.Unapokuwa na akina Ford halafu ukawa na Serikali ya Mapaka kama ya Tanzania Taifa haliwezi kufua dafu katika maendeleo.