nyama tamu
Member
- Oct 2, 2021
- 42
- 87
Sisi tushakuwa wa hivyo tu hakuna lolote la maana kila siku visingizio haviishi,mara Waanze kufananisha Mambo na nchi nyingine.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchi nyingine zinasaidia wananchi wake kwa kupunguza kodi kwenye hizo bidhaa huyu mzee anasema magumu yanakuja kwa hiyo tuhame nchi??Hawa watu wameshatuona sisi wajinga sana, wameshiba hela wanaongea tu wanavyotaka, eti tutegemee magumu, sasa serikali maana yake nini?
Kule nchi tajiri nchi ilitajirishwa na wananchi,akina Ford na magari yao ndiyo yaliyoijenga America,wewe na babu yako mmeifanyia nini Tanzania!?...umethubutu walau Kama don king kwenye ndondi!!?...au unajitahidi kuikosesha serikali mapato kwa kukwepa Kodi!?Hoja kuu hapa siyo masikini sana vs masikini kidogo bali hoja kuu hapa ni kwamba anaebeba lawama kwa Taifa kuwa masikini hadi kushindwa kutoa ruzuku kipindi hiki cha mdhororo wa uchumi ni CCM.
MI naona tatizo ni tabia ya uongo uongo ya viongozi wa Tanzania. Walizoeshwa propaganda enzi za ujamaa mpaka leo kila mtu anataka kuongoza kwa design ile ile ya Nyerere.Hiii nchi mungu atufanyie wepesi, maana viongozi wetu karibia asilimia 98.5 hawajui financial na mathematics hata kidogo
Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
Hao ndio vigogo wa dunia hii sio wale wa Yemen syria na mogadishu
USSR
Mheshimiwa pelekeni hoja ya kufuta ruzuku na marupurupu kwa viongozi wote muwanusuru wananchi kuwahudumia. Mishahara yenu ni mikubwa haihitaji mlipiwe kila kitu tujifunze kujitegemea kwa kutumia mishahara. JARIBUNI KUISHI MAISHA YA UHALISIA YA WANANCHI WENU. Tuache kudanganyana kwa siasa za nchi nyingine, je Ufaransa raisi anakirimiwa kama hapa kwetu?Mussa Zungu: Dunia ina matatizo makubwa, bei za bidhaa zimepanda huko zinapotengenezwa na kwakuwa zinapotengenezwa huko, zikija kwetu zinapanda vilevile.
Kwahiyo kupanda kwa bidhaa hizi sio suala la Tanzania, limetengenezwa na watanzania au limetengenezwa na Serikali ya Tanzania, ni suala ambalo limejitokeza kwa matatizo ya kiulimwengu ambayo yapo na hasa vita ya nchi hizi mbili kati ya Ukraine na Urusi.
Tutegemee mengi magumu yatakuja, kikubwa ni kumuomba Mwenyezi Mungu atunusuru na adha hii, amalize vita hii na dunia na nchi yetu irudi katika hali ya kawaida.
Mimi hivi karibuni nilikuwa Ufaransa, mkate sasa hivi huruhusiwi kununua kama zamani, mwisho ni mikate miwili, mkate umepanda kutoka euro moja sasa unauzwa euro nne, mafuta ya kupikia kutoka euro 2 mpaka 8, petroli euro 1.6 mpaka 7, hiyo ni Ulaya.
View attachment 2182755
Inaonekana wazi, rais na washauri wake wanalazimishia vitu vipandishwe bei ili thamani ya pesa iwe chini.Serikali zinazojitambua👇👏👏👏
View attachment 2182805View attachment 2182806View attachment 2182807View attachment 2182808Serikali za akina Mussa Zuzu👇🐒🐒🐒View attachment 2182809View attachment 2182810View attachment 2182811View attachment 2182812
Zitaje nchi jirani ambazo hazina mfumuko wa bei
Serikali inasisitiza bei zipandishwe maradufuAngetuambia,serikali wana mikakati gani kupunguza makali kwenye situation hii
Ova
Nawewe tena unainanga serikali !!!Mpumbavu huyu walipewa pesa ya kupunguza madhila ya coronavirus wakajengea madarasa, sijui waliwaza nini. Sasa wanatupa story wakati walitwambia tozo za simu watajengea madarasa sijui wanawaza nini wanatuona hamnazo
USSR
Jiwe alipochukua misaada ya tetemeko Kagera aliifanyia nini?
Vitisho na utetezi badala ya solution.
Zungu analeta taarab kwenye vitu serious.
Anajaribu kuimba mwimbo wa mwenyekiti wake ambao by the way ni wimbo uliochezwa nje ya key kabisa off beat yani.