Mussa Zungu: Tutegemee mengi magumu yatakuja. Asema kupanda kwa bei hakujatengenezwa na Serikali

Zitaje nchi jirani ambazo hazina mfumuko wa bei
Issue sio mfumuko wa bei bali serikali inachukua hatua gan kuuukabili huo mfumuko? Serikali ya Tz haijafanya chochote ukilinganisha na nchi zingine,
 
Mussa Zungu: Dunia ina matatizo makubwa, bei za bidhaa zimepanda huko zinapotengenezwa na kwakuwa zinapotengenezwa huko, zikija kwetu zinapanda vilevile.

Kwahiyo kupanda kwa bidhaa hizi sio suala la Tanzania, limetengenezwa na watanzania au limetengenezwa na Serikali ya Tanzania, ni suala ambalo limejitokeza kwa matatizo ya kiulimwengu ambayo yapo na hasa vita ya nchi hizi mbili kati ya Ukraine na Urusi.

Tutegemee mengi magumu yatakuja, kikubwa ni kumuomba Mwenyezi Mungu atunusuru na adha hii, amalize vita hii na dunia na nchi yetu irudi katika hali ya kawaida.

Mimi hivi karibuni nilikuwa Ufaransa, mkate sasa hivi huruhusiwi kununua kama zamani, mwisho ni mikate miwili, mkate umepanda kutoka euro moja sasa unauzwa euro nne, mafuta ya kupikia kutoka euro 2 mpaka 8, petroli euro 1.6 mpaka 7, hiyo ni Ulaya.

View attachment 2182755
Alizeti mafuta yamepanda kwetu je tunayatoa wapi????

Kuna mtu aliwah sema
Watanzania sio wajinga
 
Kimsingi uchumi ulikuwa pabaya tayari ndio maana mikopo ikawa mingi, huku bidhaa zikipanda kila uchwao na tozo za ajabu ajabu. Hivi vita vya Ukraine ni kama vimeipa serikali mwanya wa pa kujifichia. Sasa hivi ugumu wote utaangushiwa kwenye vita cya Ukraine. Nilitarajia wabunge wangeonyesha mfano wa kukata posho zao, na muda wa bunge kukaa ungepunguzwa ili kubana matumizi.

Nina uhakika hilo bunge hawana lolote jipya zaidi ya kilichopelekwa na serikali. Wakae mwezi mmoja tu wapitishe hiyo bajeti Magumashi ili kuokoa fedha.
 
Mussa Zungu: Dunia ina matatizo makubwa, bei za bidhaa zimepanda huko zinapotengenezwa na kwakuwa zinapotengenezwa huko, zikija kwetu zinapanda vilevile.

Kwahiyo kupanda kwa bidhaa hizi sio suala la Tanzania, limetengenezwa na watanzania au limetengenezwa na Serikali ya Tanzania, ni suala ambalo limejitokeza kwa matatizo ya kiulimwengu ambayo yapo na hasa vita ya nchi hizi mbili kati ya Ukraine na Urusi.

Tutegemee mengi magumu yatakuja, kikubwa ni kumuomba Mwenyezi Mungu atunusuru na adha hii, amalize vita hii na dunia na nchi yetu irudi katika hali ya kawaida.

Mimi hivi karibuni nilikuwa Ufaransa, mkate sasa hivi huruhusiwi kununua kama zamani, mwisho ni mikate miwili, mkate umepanda kutoka euro moja sasa unauzwa euro nne, mafuta ya kupikia kutoka euro 2 mpaka 8, petroli euro 1.6 mpaka 7, hiyo ni Ulaya.

View attachment 2182755
Halaf hili huwa liongo kama Jiwe au Kassim Majaliwa, Ukute lilikuwa Madagascar hapa linakuja kudai lilikuwa Ufaransa
 
Ni kweli na je mishahara ya ulaya ikoje kama sisi huku?
 
Serikali ilitakiwa kutoa tozo au kupunguza kwenye Diesel na sio petrol kwa sasa, Diesel ilitakiwa hata bila ruzuku kuondoa baadhi ya tozo maana ndio yanatumika sana katika usafiiri na uzalishaji. La pili kuacha kuruhusu mauzo makubwa ya nje bila kutosheleza soko la ndani leo nyama hazishikiki sababu wamefungua soko huko nje bila kufanya tathmini ya soko la ndani. Ni kweli tunataka kuuza nje vizuri lakini control ndani. Punguza gharama za serikali zisizokuwa za lazima kama vikao vya bunge punguza muda .
 
Vitisho na utetezi badala ya solution.
Zungu analeta taarab kwenye vitu serious.
Anajaribu kuimba mwimbo wa mwenyekiti wake ambao by the way ni wimbo uliochezwa nje ya key kabisa off beat yani.
 
Mussa Zungu: Dunia ina matatizo makubwa, bei za bidhaa zimepanda huko zinapotengenezwa na kwakuwa zinapotengenezwa huko, zikija kwetu zinapanda vilevile.

Kwahiyo kupanda kwa bidhaa hizi sio suala la Tanzania, limetengenezwa na watanzania au limetengenezwa na Serikali ya Tanzania, ni suala ambalo limejitokeza kwa matatizo ya kiulimwengu ambayo yapo na hasa vita ya nchi hizi mbili kati ya Ukraine na Urusi.

Tutegemee mengi magumu yatakuja, kikubwa ni kumuomba Mwenyezi Mungu atunusuru na adha hii, amalize vita hii na dunia na nchi yetu irudi katika hali ya kawaida.

Mimi hivi karibuni nilikuwa Ufaransa, mkate sasa hivi huruhusiwi kununua kama zamani, mwisho ni mikate miwili, mkate umepanda kutoka euro moja sasa unauzwa euro nne, mafuta ya kupikia kutoka euro 2 mpaka 8, petroli euro 1.6 mpaka 7, hiyo ni Ulaya.

View attachment 2182755

Bidhaa za msingi zikipanda ndo weled wa serikali unatakiwa upimwi hapo sasa vitu vinapanda watawla wanakaa tu from free fall objecti no intervation .serikali nyingine zinaweka ruzuku ili kumsaidia mtumiaji wa mwisho
 
Wewe Mpumbavu kila kitu unamtaja Jiwe wakati gani? Viongozi hawa wanafanya ujinga badala ya kuwakosoa wao unamtaja JPM!
Halaf hili huwa liongo kama Jiwe au Kassim Majaliwa, Ukute lilikuwa Madagascar hapa linakuja kudai lilikuwa Ufaransa
 
Hawa watu wameshatuona sisi wajinga sana, wameshiba hela wanaongea tu wanavyotaka, eti tutegemee magumu, sasa serikali maana yake nini?

Wewe unahisi wako kwa ajili yenu. Wanakula urefu wa kamba yao kwa manufaa ya familia zao na vizazi vyao.
 
Mpumbavu huyu walipewa pesa ya kupunguza madhila ya coronavirus wakajengea madarasa, sijui waliwaza nini. Sasa wanatupa story wakati walitwambia tozo za simu watajengea madarasa sijui wanawaza nini wanatuona hamnazo

USSR
Hapa ndo walifanya kituko....ile pesa muda huu ndo ingesaidia kwenye mfumuko huu wa bei..
 
Machizi Sana haya majamaa. Badala ya kuwafariji watu yanawatisha
 
Back
Top Bottom