Must see Movies

Must see Movies

Kwanini?...mbona kali ile part one imenishawishi
Part one kali na inaamsha hisia za majonzi. Nilioita YouTube nikasoma comments wengi wao wanasema haiamshi hisia kama ile ya kwnza. Imejikita zaidi kwenye action though unaweza kuitafuta utuletee mrejesho
 
ukiachana huyu kuna namba moJa yangu inauchotaga moyo wangu toka kwenye taabu za mihangaiko ya kimapenzi nakuniweka kwenye fukwe la kimahaba (MAHARI SALAMA) yupo kwenye invitation 2022. [emoji23].View attachment 2445600
Sio ndo uyu kweli mkuu anaitwa Nathalie Emmanuel, kama ndo uyo ata me nakapendaga kadada aka ni kazuri kinyama japo kanazembea kula[emoji28][emoji28](jokes)
Screenshot_20221213-204718~2.jpg
 
ukiachana huyu kuna namba moJa yangu inauchotaga moyo wangu toka kwenye taabu za mihangaiko ya kimapenzi nakuniweka kwenye fukwe la kimahaba (MAHARI SALAMA) yupo kwenye invitation 2022. [emoji23].View attachment 2445600
[emoji16][emoji16]pole sana mkuu...hawa wadada sijui wanatokeaga wapi aiseee!! Ntaipitia hiyo nayo nimuone vizuri huyo dada
 
Sura na miguu=vidonge vya rangi mbili
Mkuu huyu mdada nigga hana mambo yakutia weupe nazani unawajua manigga wa mbele kwanza mtizame fresh kwenye The fate of furious
 
Back
Top Bottom