hiyo RIDER'S OF JUSTICE ni nzuri Jamaa Yupo kambini anapata taarifa za msiba wa mke wake kafariki kwa kiripuzi kisichoeleweka kwenye train anakuja kutafta ukweli jamaa si mtu wa maneno mengi mijegeje ipo pia. sema kuna scene moja ilinichekesha mwanae karudi home toka matembezini na boyfriend ake mshua alikuwa keshamtafta sana hamuoni afu ukipigia wanasakwa na wahuni kwenye kumfokea alikuwa wapi Boyfriend kiherehere ety unamfokea hivyo kama nani [emoji23][emoji38] Dogo alitiwa kofi la ujazo mpaka chini akatoka nduki kama za finishing ya Olympic [emoji23].