Must see Movies

Must see Movies

John wick, mzee wa Taken na yule babu wa Nobody nawakubali sana
Hao wajomba woote uliowataja ni nouma hakuna atammoja aliemuogopa adui yake wao ndo kwanza walimfata kuonyesha kuwa na matighter na Nusu na robo...

Yaani we adui unaogopwa mpaka na madon alaf mwamba anakuja kukutambia uwanja wako wa nyumbani ogopa mtu uyo[emoji16][emoji16][emoji119]
 
Unajua yule mzee wa Nobody ile ndio filamu yake ya kwanza kuiona sikuwahi kuona filamu zake za nyuma!! Japo nimeshazigugu kesho nitaanza kushusha moja moja
 
Hii subiri wajomba walale ndio uitazame...Lady Chatterley's Lover(2022)..yaani ile Kimasihara ndio iko hapo sasa.
[emoji41]
IMG_20221218_074255_738.jpg
 
Majina ya hixo muvi
Kuna Girlfriend's day (2017) - Comedy
The post (2017) -
Nebraska (2013) - Comedy
Long shot (2019) - Comedy
Halloween kills (2021)
Freaks of nature (2015) - Horror
Filamu zake nyingi ni za zamani halafu comedy
 
Mi nataka mkono mkono kama hiyo polar
 
Naombeni movie ambayo inahusisha kupinduliwa kwa Rais..

Or any CIA operation

Zikiwa Netflix itakuwa unyama zaidi.
 
Back
Top Bottom