Must see Movies

Must see Movies

hahahaa kile kiliniumbua sema subwoofer ipo karibu, kuna scene jamaa wanampima tezi dume wakamtia Dole gumba [emoji106] ulipaona [emoji23][emoji38]
Kipi hiko?! Hebu nikirudi geto nikitafute.Yan wazungu mambo yao wanayajua wenyewe[emoji16][emoji16]
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] yaani nilijipinda kutafuta black adam kwa high quality nikakuta inazidowa na deadpool 2
Movie kama nina mashaka nayo nadownload ile ya quality ndogo haitozidi 300mb hizo mb hazitaniuma sana[emoji23]
 
Hyo Polar naona mnaitajataja sana imebidi nipause kwanza Emancipation[emoji41][emoji41]
IMG_20221214_185759_774.jpg
 
hahahaa kile kiliniumbua sema subwoofer ipo karibu, kuna scene jamaa wanampima tezi dume wakamtia Dole gumba [emoji106] ulipaona [emoji23][emoji38]
Polar si ndio hiyo mwishoni kuna mzee kapigwa pistol akafa ila bado mjegeje umesimama[emoji23][emoji23] Muvi ina mabo ya hovyo sana hii
Ila inakosha sana
 
Mzee alitandika viagra kwanza ghafla akashambiliwa mjegeje ukiwa bado umesimama
 
hapana, huyu jamaa yupo kwenye movies nyingine kama The Hunt na Rider's of Justice pia Hannibal
hiyo RIDER'S OF JUSTICE ni nzuri Jamaa Yupo kambini anapata taarifa za msiba wa mke wake kafariki kwa kiripuzi kisichoeleweka kwenye train anakuja kutafta ukweli jamaa si mtu wa maneno mengi mijegeje ipo pia. sema kuna scene moja ilinichekesha mwanae karudi home toka matembezini na boyfriend ake mshua alikuwa keshamtafta sana hamuoni afu ukipigia wanasakwa na wahuni kwenye kumfokea alikuwa wapi Boyfriend kiherehere ety unamfokea hivyo kama nani [emoji23][emoji38] Dogo alitiwa kofi la ujazo mpaka chini akatoka nduki kama za finishing ya Olympic [emoji23].
 
Ndio hii kabla sijafanya maamuzi?
Screenshot_20221215-215452.png
 
Back
Top Bottom