Must see Movies

[emoji16][emoji16] huyo the rock alianza vizuri ilansasa muvi zake amekabidhi computer imchezeshe kama katuni

Ana muvi kali kama skyscraper 2018 ila sasa hivi duuh

Nani ameichek hiyo skyscraper
[emoji2772][emoji846] Majuzi nimetoka kuirudia iko Poer.
 
Nahitaji muvi za watu weusi kubaguliwa
kuna moja si ya kibaguzi sana yupo samwel Jackson na Yule Falcon wa avengers.

setting miaka ya 90's huko kulikuwa kuna Bank hawaruhusiwi Negros (Blacks) kuingia hiyo Bank Jamaa wakafanya makeke wakainunua Bank ko wao wakawa ma Boss afu wafanyakazi wazungu [emoji23][emoji38][emoji23][emoji38][emoji23]
 
Nahitaji muvi za watu weusi kubaguliwa
Hope
Njango
Free State of Jones
Twelve years a slave
Saraphina
Totsi
Us
Get out
Cry out freedom ( not sure of title about South Africa)

*** Pia google Kun movie nyingi za South Africa zinazoonesha ubaguzi wa South Africa
 
The Banker?!
 
[emoji16][emoji16] huyo the rock alianza vizuri ilansasa muvi zake amekabidhi computer imchezeshe kama katuni

Ana muvi kali kama skyscraper 2018 ila sasa hivi duuh

Nani ameichek hiyo skyscraper
Au movie yake kali nyingine San Andreas
 
Inaonakana hii ni kali sana huwa naona post tu
 
Yenye kufanana na WHITE HOUSE DOWN kuna OLYMPUS HAS FALLEN.
One of the best toka kwa Gerald Butler.
kuna watu wana roho mbaya humo balaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…