Must see Movies

Msisababishe tuchome bando kumbe muvi ni ya kukialia na mapenzi humo ndani halafu mnaita bonge la muvi
😑😑😑😑😑
Hahaha sawa mkuu sema kila mtu na naomi yake kulingana na movies yenyewe ila kwangu mimi movie ni kali
 
Vipi mzee umeshaicheki, umeionaje?
Ndio nimeshaiona. Kama uliwahi kucheki home alone ukaipenda bila shaka utaipenda pia hii.

Ina mambo haya.
Vibe la xmass (kama ni mkristo utaipenda tu)

Money heist(wadau wananusa mtonyo wa mamilioni kwenye familia wanaenda kujaribu bahati yao)

Kwa bahati father christmas anajikuta eneo la tukio na kutoa msaada hapo ndipo nyundo ya kupasulia mawe inatumika kuvunja mifupa ya hao wadau wanaojaribu kupora ule mtonyo.

For the time being wakati tunasubiri muvi nyingine kama operation fortune johnwick chapter ngapi sijui huko naweza kusema inafaa.
 
Namimi nimetoka kuicheki sio mbaya sana iko poa ila nimeikubali kazi ya ile nyundo
 
The Boy Next Door..

Claire ambaye ana mgogoro na mume wake anajikuta anazagamuana na kijana mdogo ambaye ni jirani yake..Claire anasema ilikuwa mistake..Kijana mdogo anasema hapana na anakuwa kinganganizi..anaandaa vita kali na Claire.

Nimeielewa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…