Must see Movies

Hata hyo imenishinda kbsa.... Niliangalia episode kama 4 lakin naona sio mpenz
Yani katika Movie zote hapo sijaangalia
ila naona hamnaga kitu kama Peaky Blinders, pia kwakua ni ya waingereza hawanaga sana ule usela mavi mavi
Cilian Murphy ameitendea haki sana nafasi yake zaidi ya sanaa, Yani Thomas ni mtu fulani makini sana
 
Hivi blinders ina nini humo?
 
Nimependa gangsland tu... Ndio mpka sasa naichek
 
Hivi blinders ina nini humo?
kuna vitu adimu
Peaky blinders ni kundi la wafanya biashara tuseme haramu ambao wamebase mji wa Birmingham linaloongozwa na Thomas Shelby na aunt yao pamoja na familia ya Shelbys..
Thomas anapambana sana na makundi mengine ili Kufanikisha legacy ya familia pia kwa ajili ya maisha
Thomas anatumia akili sana ni kama Genius, ni mtu hayumbishwi, Family First na mpambanaji sana hakubali kushindwa jambo analoliamini..
Yote kwa yote ni katika kujaribu ku survive katika kipindi kile nchi ilipokua na magenge mengi baada ya England kutoka vitani France
 
Kwa kifup plz
The first season begins in the 2017-18 school year, and follows a down-and-out Johnny using karate to defend his new teenage neighbor Miguel Diaz from a group of bullies. Johnny agrees to teach Miguel karate and opens the Cobra Kai karate dojo as a chance to recapture his past.

Nimecopy tu sehemu, mimi kuelezea siwezi[emoji38][emoji38]
Ila kuna mambo kibao kama Comedy, bifu, karate, action kidogo, drama, mapenzi, bullies at school, mambo ya kifamilia, wivu, chuki, revenge, n.k. Episode zake ni fupi sana, nusu saa tu.
 
Umefafanua vyema nilikuwa siielewi licha ya kujadibu episodes kadhaa kwasababu nilikuwa naona mambo ya kizamanizamani tu
 
Umefafanua vyema nilikuwa siielewi licha ya kujadibu episodes kadhaa kwasababu nilikuwa naona mambo ya kizamanizamani tu
yani huwezi amini Nmeiangaliaga kwa utulivu sana ...Thomas ni mtu mpambanaji sana hakati tamaa haonyeshi hisia zake kirahisi ila ana mengi ameyabeba ndio mana mwanzoni kabisa Grace anamwambia nikikuimbia wimbo utakuumiza moyo, Ye akamjibu ""Already broken" na Shelby's huwa hawana shida na mtu asie na shida na wao pia sio kwamba ni genge la wanyaaama hapana
wamebalance utu na unyama.. ni watu wenye mikakati hawafanyi fanyi tu Tom anafanya kazi
 
Ninashawishika kuirudia ahsante
 
Jaman mimi movie za ki gangstar zimenishinda kbsa hizi za gangs of London, king of harlam na mayor of kingstone..
Hiz ndio muvi zinazofikirisha na zinahusianisha na maisha halisi na namna ya kusolve changamoto...i love them all
 
Aisee naisubir vita ya Tommy na "the black cat"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…