princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
Yani katika Movie zote hapo sijaangaliaHata hyo imenishinda kbsa.... Niliangalia episode kama 4 lakin naona sio mpenz
ila naona hamnaga kitu kama Peaky Blinders, pia kwakua ni ya waingereza hawanaga sana ule usela mavi mavi
Cilian Murphy ameitendea haki sana nafasi yake zaidi ya sanaa, Yani Thomas ni mtu fulani makini sana