Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,195
- 13,785
hyo ni namba 2 ambayo ndo hyo peninsulaTrain to busan nilipenda story yake mwanzoni
ni real sana, washkaji wamepigika halafu umekuja mchongo wa kuuza nafsi ile kitu bwana ni real sana kwa ukanda huu maana kuna stage mtu anafika anaona heri akafe tu mana hata ukisema ung'ang'anie uraiani hamna faida ni msoto
Mkuu hiyo movie hata rates zake sio nzuri movie ilikua na utoto mwingi sana maana tunaona hadi magari yanapaa anganihyo ni namba 2 ambayo ndo hyo peninsula
ambayo wenzio hpo wanaiona yakawaida
ila nafikir ni preference ya mtu
mimi hyo peninsula nimeilewa sana
Oyaa kaka huo mzigo nimeona trailer lake wamoto kinoma yule dingi anagonga ngumi kinomaKuna movie inatoka mwaka huu inaitwa SISU ni hatari sana waliotengeneza movie za JOHN WICK ndo wameuandaa huu mzigo
Alaf nimecheck Wikipedia baadhi ya maeneo imetoka ila USA ndo 28AprilKuna movie inatoka mwaka huu inaitwa SISU ni hatari sana waliotengeneza movie za JOHN WICK ndo wameuandaa huu mzigo
ndio... mi zote nmezipendahyo ni namba 2 ambayo ndo hyo peninsula
ambayo wenzio hpo wanaiona yakawaida
ila nafikir ni preference ya mtu
mimi hyo peninsula nimeilewa sana
Coming soon
Nadhani nilikuwa mtu wa kwanza kuizungumzia humh na nikawaambia wadau kuwa ikitoka tukumbushane.Kuna movie inatoka mwaka huu inaitwa SISU ni hatari sana waliotengeneza movie za JOHN WICK ndo wameuandaa huu mzigo
na ndicho hicho hta nami nimeonandio... mi zote nmezipenda
sema watu walitaka iendee ilipoishiaga ya mwanzo
peninsula nmeipenda stori yake inafundisha sana
Inaitwaje hiyo maana leo wengine picha hazifungukiNasikia September 2023 mzigo unaachiliwaView attachment 2601148
The EqualizerInaitwaje hiyo maana leo wengine picha hazifungukiView attachment 2601157