Must see Movies

Must see Movies

Kuna movie inatoka mwaka huu inaitwa SISU ni hatari sana waliotengeneza movie za JOHN WICK ndo wameuandaa huu mzigo
 
Nimeicheki train to Busan sasa nimeanza kigongo cha USA
Bel air hakika kinaburudisha
 
Train to busan nilipenda story yake mwanzoni
ni real sana, washkaji wamepigika halafu umekuja mchongo wa kuuza nafsi ile kitu bwana ni real sana kwa ukanda huu maana kuna stage mtu anafika anaona heri akafe tu mana hata ukisema ung'ang'anie uraiani hamna faida ni msoto
hyo ni namba 2 ambayo ndo hyo peninsula

ambayo wenzio hpo wanaiona yakawaida

ila nafikir ni preference ya mtu

mimi hyo peninsula nimeilewa sana
 
hyo ni namba 2 ambayo ndo hyo peninsula

ambayo wenzio hpo wanaiona yakawaida

ila nafikir ni preference ya mtu

mimi hyo peninsula nimeilewa sana
Mkuu hiyo movie hata rates zake sio nzuri movie ilikua na utoto mwingi sana maana tunaona hadi magari yanapaa angani
 
Escape from Mogadishu
Hii nayo sio mbaya
images%20(13).jpg
 
hyo ni namba 2 ambayo ndo hyo peninsula

ambayo wenzio hpo wanaiona yakawaida

ila nafikir ni preference ya mtu

mimi hyo peninsula nimeilewa sana
ndio... mi zote nmezipenda
sema watu walitaka iendee ilipoishiaga ya mwanzo

peninsula nmeipenda stori yake inafundisha sana
 
Kuna movie inatoka mwaka huu inaitwa SISU ni hatari sana waliotengeneza movie za JOHN WICK ndo wameuandaa huu mzigo
Nadhani nilikuwa mtu wa kwanza kuizungumzia humh na nikawaambia wadau kuwa ikitoka tukumbushane.
Nyingine ni pamoja na
1. Assassin club
2. Bloody dad
3. Hypnotic
4. AKA 2023

na nyingine moja nimeisahau. Zikitoka naomba tukumbushane sitaki zinipite
 
THREE THINGS ABOUT SHAWSHANK movie
1. Jamaa anaplay santuri gerezani na kufanya kila mfungwa aguswe moyo wake

2. Mfungwa ana uwawa na polisi nje ili kufischa jambo na maelezo yanaonesha alijaribu kutoroka
3. Jamaa anatoroka nankumwachia msala bwana jela

Hayo ni mambo niliyo yapenda humo.
 
Hakuna movie yoyote Kali ya action kuanzia mwaka 2016 Hadi leo ambayo mngenitajia nikaangalie? Iwe movie ya USA au South Korea
Yoyote ile ya action, iwe tu Kali[emoji16][emoji16]
 
Ghosted 2023.
Genre: Comedy/action/spy/romance
Cole anakutana na mrembo Sadie wanapata na one night date, baada ya kuona kimya kingi anaamua kusafiri mpaka London kumfanyia suprise , asijue mwenzie ni secret agent yupo kwenye mission.....
Screenshot_20230427-084425.jpg
 
The Portable Door 2023
Genre: Adventure/fantasy/comedy
Sio nzuri saana wala sio mbaya sana[emoji848]
Screenshot_20230426-083149.jpg
 
Back
Top Bottom