Must see Movies

Goojara ina resolution ya kawaida tu na nikijaribu kwa yts na torrent sipati matokea nimeshajaribu sana sijui nakosea wapi
 
mfano hiyo movie kutoka yts nimedownload kupitia bit torrent yaani hapo hata nikiisubiri masaa 24 haijai na nimejaribu torrent nyingi matokea ni kama hayo
 
View attachment 2605703mfano hiyo movie kutoka yts nimedownload kupitia bit torrent yaani hapo hata nikiisubiri masaa 24 haijai na nimejaribu torrent nyingi matokea ni kama hayo
Inawezekana ikawa poor internet conn. Si unaona hapo wifi strength ipo chini kidogo. Jaribu ku switch kwenye mobile data uone inakuaje maana wapo wadau humu wanatumia hizo torrent.
 
Inawezekana ikawa poor internet conn. Si unaona hapo wifi strength ipo chini kidogo. Jaribu ku switch kwenye mobile data uone inakuaje maana wapo wadau humu wanatumia hizo torrent.
Inaingia japokua taratibu na wifi ipo vizuri tu je tatizo ni torrent au network ila wifi kama unavyoona hapo juu
 
View attachment 2605703mfano hiyo movie kutoka yts nimedownload kupitia bit torrent yaani hapo hata nikiisubiri masaa 24 haijai na nimejaribu torrent nyingi matokea ni kama hayo
Internet connection yako ipo slow me natumia uTorrent nakumbuka nishashusha movie saba the lion king1-4,Avatar mpya,Creed 3 na Wakanda forever kwa <40dk resolution yangu nachukuaga 720p
 
Kwa sasa naona bora kutumia Netnaija.com kuna movies mpya karibu zote last time nili dowload Topgun(2022) ya Tom cruze.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…