Moneytwister
JF-Expert Member
- Jul 22, 2022
- 302
- 999
Naipate net naija kwa laptop yanguNetnaija haina sehemu ya kuchagua quality
Naipate net naija kwa laptop yangu
"All of us are dead" bonge la drama, kwa ambae hajaicheki atafurahi sana kuitazama.Inategemea unataka horror za aina zipi. Kuna mwingine Horror movies anamaanisha muvi zenye mambo ya uchawi au nguvu za giza ambazo hizi nazijua chache sana.
Ila horror nyingine ni hizi
Escape Room: the tournament of champions 2019 single movie
Hii ni Thriller na ni psychological horror Kwa sababu inahusisha screaming na panic among people View attachment 2603453
Texas Chainsaw Massacre 2022 single movie
Hii ni Thriller na Horror. Inahusisha mauaji ya kikatili na damu nyingi. Sehemu kubwa ya mauaji hayo yamefanywa kwa kutumia ChainsawView attachment 2603455
Army of the Dead 2021 single movie
Hii ina action na horror. Inahusisha mission ya kwenda kuokoa kiasi cha pesa katika eneo la Vegas city ambalo limejaa zombies. Ina comedy pia View attachment 2603458
Train to Busan 2016 single movie
Hii ni Action, Horror na Thriller. Inahusisha binadamu kubadilika na kuwa monsters ambao lengo lao ni moja tu; kumbadilisha kila mtu aliye hai kuwa kama wao, na Hali hii inasambaa kama tu kwenye movies nyingine za zombies, Kwa kung'atana.
Ugonjwa inasambaa kwenye train inayotoka Seoul kwenda Busan na watu wanataabika kujiokoa lakini mwisho wa siku kwenye train yote wanabaki survivers wawili tuView attachment 2603460
All of us are Dead 2022 series
Hii ni Action, Horror na Thriller. Zombie outbreak inatokea katika Hyosan High school Kwa hiyo kundi la wanafunzi walionusurika kuwa mazombie wanataabika kutafuta namna ya kutoka nje ya eneo la shule hiyo ambayo imejaa zombies kila konaView attachment 2603462
Scream 2022 single movie
Hii ni Horror na Thriller. Inahusu mauaji na mauaji mengi ni ya kuchomwa na kisuView attachment 2603464
Hiyo movie ni kali?Nilifanikiwa kuipata ni kali sana
Hii ghosted nimeitafuta wiki iliyopita ila sikufanikiwa, naweza kuidownload wapi?Kuliko upoteze MB kwa CREED na avatar bora wkend hii uangalie
Ghosted
Oya hiyo Hacksaw Ridge sio poa. Vile vyuma sio mchezo[emoji16]Godfather
Goodfellas
Scarface
Scent of women
Peaky blinders
Life in Oz
Better call saul
Breaking bad
Lamborghin
Taboo
Ozark
Fury
Saving private ryan
Rocky
Saw
Hacksaw ridge
300 spartans
Lost
Leegend of seeker
Expendables
Hizi movie huwa nazirudia sijui kwanini nahisi nnatatzo la afya ya akili
Mkuu jipatie nakala yako kupitia [emoji16][emoji16] Watch Ghosted (2023)Hii ghosted nimeitafuta wiki iliyopita ila sikufanikiwa, naweza kuidownload wapi?
Hivi hakuna muvi yoyote ile ambayo ipo kama Final destination kuanzia 2016 kuja juuOya hiyo Hacksaw Ridge sio poa. Vile vyuma sio mchezo[emoji16]
Sio kwamba sina interest na movie shida sipendi nichome mb zangu movie nyingi nazocheki mpaka nihakikishiwe ni nzuri kwanza ndio nachekiBasi huna interests na muviz
Ni movie nzuriAliyeiona hii atoe mrejesho nisije nikaharibu bando.
Ndio mkuuHiyo movie ni kali?
[emoji848][emoji848] searching........Hivi hakuna muvi yoyote ile ambayo ipo kama Final destination kuanzia 2016 kuja juu
KaliAliyeiona hii atoe mrejesho nisije nikaharibu bando.
Hivi hii movie. Ni kali nisije aribu bando, rate yake naona 5.4 kuna usalama kweliMkuu jipatie nakala yako kupitia [emoji16][emoji16] Watch Ghosted (2023)
Mwenyewe nahofia Kwa sababu rating ni ndogo sanaHivi hii movie. Ni kali nisije aribu bando, rate yake naona 5.4 kuna usalama kweli
Hakuna waliona kweliMwenyewe nahofia Kwa sababu rating ni ndogo sana