Unatishika na sura za kihindi? Kaangalie kazi za russo brothers uondoe mashaka yako πππWahindi hao hawana mambo kunyanyua gari kwa mkono[emoji16]
Siwezi kushea muvi za hivyo mimi.
[emoji16][emoji16][emoji16] eti watu wana mabawa miguuni na mikia ndo nishee muvi za hivyo? Au mtu anadaka pikipiki kama zike kawasak hewani halafu anairusha juu ghorofani hakika siwezi
Kaka nishaipakua ntakuletea mrejesho[emoji16]Unatishika na sura za kihindi? Kaangalie kazi za russo brothers uonfoe mashaka yako [emoji16][emoji16][emoji16]
Ukimaliza episode ya kwanza uje hapaKaka nishaipakua ntakuletea mrejesho[emoji16]
huu ni moto aiseeKumbe "All of us are Dead" haipo kwenye list yako mkuu, hii series ndio nimeielewa Kwa 2022 yote
Ina story Kali au ngumi pekee?Ishushe haraka sana bila kuchelewa sitaki maswali ya inahusu nini ninacho jua inamkong'oto !!!!!!!!!!
Series.
View attachment 2610957
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Ina story Kali au ngumi pekee?
Naisaidie kumjibu ππ[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Chukua episode moja haizidi hata megabyte 90 halafu u judge mwenyeweIna story Kali au ngumi pekee?
Jamaa wamebana kwelikweli wanataka waingize faida kwanzaJohn wick chapt4 mpk may 28
and finally STEM ametakeover grey's body.Mkuu hiyo movie iko poa ishushe, sikumbuki vizuri ila jamaa alipata ajali na mke wake then mke wake anauliwa na yeye anapigwa risasi ya shingo inayompelekea kuparalyze. Wakati akiendelea kutunzwa na mama ake, kuna jamaa mmoja anakuja anamshauri awekewe chip itakayomsaidia kumrudisha katika hali ya kawaida aweze kutembea ila makubaliano aendelee kupretend kwamba bado hawez kutembea. Kuna siku akiwa anaangalia video ya ajali na mauaji ya mke wake, anasikia sauti kichwani mwake (kutoka kwenye hiyo implanted chip) inamwambia inaweza kumsaidia kupata hao wauaji.
Jamaa anakubali inampeleka mpk kwa suspect wa kwanza na kujiridhisha kabisa, sasa kipengele ni kwamba yeye ni mlemavu kupigana hawezi, ile chip from inside inamuomba full body control aweze kupambana, jamaa baada ya kukubali anakuwa kama killing machine, anagawa dozi sio mchezo kama robot[emoji16]. Jamaa akaendelea kuwatafuta maadui zake kwa staili hiyo.
Sasa detective aliyepewa kazi ya kuchunguza hivyo vifo anashangaa kumuona jamaa kwenye eneo la tukio kupitia video zilizorekodiwa na kama cctv camera, lakini hafikirii kama ndio muhusika maana mtu mwenyewe anashinda kwenye wheelchair anabaki kujisemea labda ni coincidence tu..... [emoji16][emoji16]View attachment 2610445
Na hatujaoneshwa nini kitaendeleaand finally STEM ametakeover grey's body.
Yeah ni filamu nzuri tu... Yajayo huko mbeleni yanafurahisha sanaand finally STEM ametakeover grey's body.
Cheki big mouth ni Kali na ina mwisho mzuriSeries nyingi za kikorea cirently hazina mwisho mzuri
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Sijauenda yule mdada kufa na jinsi meya alivyokufaCheki big mouth ni Kali na ina mwisho mzuri
hii idea haipishani sanaa na universal soldier 2 ya vandame.Na hatujaoneshwa nini kitaendelea
Yeah nimeichekiMkuu Reuben Challe unapendaga movies za damu damu, umeshacheki hii Halloween Kills ya 2021View attachment 2613333