Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 18,046
- 38,598
Vipi ka muvi /series kenye mkono toleo la hivi karibuni hamna?Mkuu Reuben Challe unapendaga movies za damu damu, umeshacheki hii Halloween Kills ya 2021View attachment 2613333
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi ka muvi /series kenye mkono toleo la hivi karibuni hamna?Mkuu Reuben Challe unapendaga movies za damu damu, umeshacheki hii Halloween Kills ya 2021View attachment 2613333
Nobody 2021Vipi ka muvi /series kenye mkono toleo la hivi karibuni hamna?
Kwa series huwa sifatilii sana..umecheki Assassin Club (2023) iko poaVipi ka muvi /series kenye mkono toleo la hivi karibuni hamna?
Mkuu ulikuwa wapi.. humo ndani hamna kipigo bali ni kipondo[emoji16]Nobody 2021
Hii nataka niishushe leo, naona ina ratings nzuri IMDb 7.4/10 View attachment 2613360
Usijiulize mala 2 chukua huu mzigoNobody 2021
Hii nataka niishushe leo, naona ina ratings nzuri IMDb 7.4/10 View attachment 2613360
Ameshaicheki huyoKwa series huwa sifatilii sana..umecheki Assassin Club (2023) iko poa
Hizi siku mbili tatu sijaangalia movie nzuri kabisa. Jana niliangalia moja inaitwa AKA (2023) nayo ya kawaida tuAmeshaicheki huyo
Nilikuwa wakanza kui suggest humu 😁😁😁Ameshaicheki huyo
Hiyo movie ni Kali mno aisee ilistahili more than hiyo rate kwa mwaka wake sijaona movie zaidi ya hiyoNobody 2021
Hii nataka niishushe leo, naona ina ratings nzuri IMDb 7.4/10 View attachment 2613360
Naipitaga kila siku hiiNobody 2021
Hii nataka niishushe leo, naona ina ratings nzuri IMDb 7.4/10 View attachment 2613360
Hiyo na polar hazina majina ya kuvutia ila ni muvi nzuri sana. Polar umesha icheki?.Naipitaga kila siku hii
Hiyo saving private Ryan. Kuna yule shooter anaeitwa pvt Jackson. Mwamba kabla hajamdungua adui, anashusha mstari wa kwenye biblia. Hii movie ilikua na uhalisia sana.Godfather
Goodfellas
Scarface
Scent of women
Peaky blinders
Life in Oz
Better call saul
Breaking bad
Lamborghin
Taboo
Ozark
Fury
Saving private ryan
Rocky
Saw
Hacksaw ridge
300 spartans
Lost
Leegend of seeker
Expendables
Hizi movie huwa nazirudia sijui kwanini nahisi nnatatzo la afya ya akili
[emoji23][emoji23]asee kaka serious hukuiona hii movieNobody 2021
Hii nataka niishushe leo, naona ina ratings nzuri IMDb 7.4/10 View attachment 2613360
Ayo maneno "One of the best action film in over decade" Hawajakosea kabisa uyo dingi(SAUL GOODMAN) ni anaponda sio kupigaNobody 2021
Hii nataka niishushe leo, naona ina ratings nzuri IMDb 7.4/10 View attachment 2613360
Apo kwenye Nobody Polar haiingii ndaniHiyo na polar hazina majina ya kuvutia ila ni muvi nzuri sana. Polar umesha icheki?
Muvi zenye promo sana huwa sio nzuri ila muvi kama hizo za kimyakimya unaweza kurudia hata mara 3 kuiangalia.[emoji23][emoji23]asee kaka serious hukuiona hii movie
Zote zina ladha ya kipekee. Labda kama umesahau mziki wa polarApo kwenye Nobody Polar haiingii ndani
Jina la series yenye ladha zoote za breaking bad tafadhali...Apo kwenye Nobody Polar haiingii ndani
Naikumbuka kaka mwanzo mwisho sema nilichoipa heshima Nobody kwanza umo ndani hamna mambo ya ajabu kama vile mwanamke kupewa mike atume salam,mambo ya kufa uku ndonga ipo on mara sex za ajab ajab, Mule ni mkono tu unakuta wale mafia waliona tattoo ya mzee wakakumbuka wapo na mtu wa aina gani ikabidi wajifungie ndani hawataki ushahidi[emoji16][emoji16]Zote zina ladha ya kipekee. Labda kama umesahau mziki wa polar
Pitia Better Call SaulJina la series yenye ladha zoote za breaking bad tafadhali...