Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Kwa vijiji nilivyotembea, siwezi kuwapa hauo maua yao.Kwa vijiji nilivyotembea halotel wapewe maua yao
Kwenye vijiji vingi utaweza kupiga simu na kutuma txt tu, ila swala la 3G, 4G au 5G sahahu kabisa, huko ni H+ au E .
VIJIJI KWELIKWELI achana na hizi semi-towns.