Must see Movies

Must see Movies

Rurouni Kenshin ...japanes best action movie series hii kitu ni moto saana [emoji91][emoji91][emoji91], ziko tano hizi hapa
1- Rurouni Kenshin ..the origins 2012
2- Rurouni kenshin..kyoto inferno 2014
3- Rurouni kenshin... the legend ends 2014
4- Rurouni kenshin... The final 2021
5- Rurouni kenshin.. The beginning 2021
Kati ya movie za ovyo kuwahi kutokea toka Japan ipigwe minyuklia na USA ni hizo Ruroin Kenshin
 
Mpaka sasa Kwa muvi mpya zilizotoka kwangu Top Gun Bado ipo juu, nshairudia mara kadhaa na Bado. Napenda sana actions za fighter jets hivyo naipa 9.5/10[emoji847][emoji3][emoji3]

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Mi siwezi kuirufia hiyo zaidi ya mabomu mawili matatu na ndege kupita juu ya milima sijaona cha ajabu humo
 
Bora nirudie
guy ritchie the covenant
Lone survivor
Hitman agent 47
Salt
Restless
Whitehouse down
Bourne legacy

Ila sio hiyo topGun
Hiyo Restless ipo vizuri Sana binafsi napenda movie zenye story Kali but isiwe ya kivita tu
 
Mpaka sasa Kwa muvi mpya zilizotoka kwangu Top Gun Bado ipo juu, nshairudia mara kadhaa na Bado. Napenda sana actions za fighter jets hivyo naipa 9.5/10[emoji847][emoji3][emoji3]

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Mi naona Day Shift imekaa poa sana. Day Shift nimerudia mara saba
Pia kuna Uncharted nayo iko poa kuliko Top gun kwa upande wangu
 
Back
Top Bottom