Must see Movies

[emoji16][emoji16]hiyo nayo naikumbuka.. dah nitakuja nizishushe tena niangalie huwenda saiv ntatulia
 
Hivi john wick 4 ndo amekufa kweli haina mwendelezo, mbona zile za kwanza 123 anapigwa risasi nyingi mpaka mbavuni anatoa mwenyewe zingine anatolewa imekuwaje zile tatu mtu hoi 😅na kudead kadead
 
TENET itakuwa ni muvi nzuri sana ambayo unaweza kuitumia kujipima IQ [emoji28][emoji28]
Hata mimi nataka nikaiangalie ili nipime uwezo wangu wa kuelewa movie [emoji16][emoji16]
Sasa kama Actor mmojawapo wa hyo movie amesema maneno ayo we unafikiri kuna nini apo kinaendelea kama sio kurudishwa darasani kusoma Mathematics [emoji28][emoji23]
 
Hivi john wick 4 ndo amekufa kweli haina mwendelezo, mbona zile za kwanza 123 anapigwa risasi nyingi mpaka mbavuni anatoa mwenyewe zingine anatolewa imekuwaje zile tatu mtu hoi 😅na kudead kadead

Huu uongo wa waziwazi ndio huwa siukubali kwenye movie.😂
 
Aliye direct movie ya Tenet ndie huyo huyo aliye direct movie ya inception na ana movie yake nyingine ya kuvuruga kichwa inaitwa interstellar ya mwaka 2014
Hii tenet ukiiweka geto utakuta watu wamekaa kimya kama darasani na hawaelew bado[emoji16][emoji16]
 
Release date for upcoming avatar movies delay
-Avatar3 ilikuwa itoke december 2024 wameipeleka mpk dec 2025
-Avatar4 kutoka dec 2026 mpk dec 2029
-Avatar5 kutoka dec 2028 had dec 2031
[emoji23][emoji2][emoji2]yaan hadi miaka hyo tu movie inaendelea sasa si bora waweke iwe season kuliko huo upuuzi wao
 
Apocalypto ni moja kati ya movies zilizochezwa vizuri sana, characters, mazingira na story vyote vilikuwa on point.

Sidhani kama Africa itakuja kufikia hatua hii kwenye uwekezaji wa movies, angalia mitambo ambayo ilitumika kuchukua video, hapo tunazungumzia 2006 huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…