Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,195
- 13,785
Sio mchezo nilipigwa physics moja hatari sana alafu jamaa akarecommend movie nyingine ya INCEPTION na yenyew kutoka kwa NOLAN nikaenda nikaidownload kuangalia mala ya kwanza sikuelew nikaludi tena YouTube nilivyoenda kuangalia mala ya pili nikaielewa vizuri[emoji16][emoji16]Ukaenda kula tutorial kwa kwanza