Must see Movies

Must see Movies

Fast x nimeona ni movie laini sana isiyo na uhalisia wala chochote zaidi ya magari
Yaani imekaa Kama action comedy yaaani haiwezekani mpaka mwisho jambazi kuu asife
movie plots nyingi za miaka hii maadui/ Adui mara nyingi hawafi bali wanakufa mastar hii Ipo hasa kwenye horror movies

nb. hyo mafast and furious sijawahi kuyapenda sababu ya migari mingi mingi
 
Hivi kuna mtu mwingine anatabia kama yangu yaani kama nina Movie kaliiii uwa sitamani kuangalia naona kama utamu utaisha ghafla
Mi huwa nasubiri mpaka usiku watu wote wameshalala ndo nijitulize niangalie kwa raha zangu bila bugudha. Ukinikuta nimeconcentrate utasema naenda kufanya mtihani asubuhi😀
 
Huu mzigo nao si haba
 
Attachments

  • Screenshot_20230618-164314_Chrome.jpg
    Screenshot_20230618-164314_Chrome.jpg
    235.7 KB · Views: 20
movie plots nyingi za miaka hii maadui/ Adui mara nyingi hawafi bali wanakufa mastar hii Ipo hasa kwenye horror movies

nb. hyo mafast and furious sijawahi kuyapenda sababu ya migari mingi mingi
Movie hii sijaependa kabisa yaani
 
Mi huwa nasubiri mpaka usiku watu wote wameshalala ndo nijitulize niangalie kwa raha zangu bila bugudha. Ukinikuta nimeconcentrate utasema naenda kufanya mtihani asubuhi[emoji3]
[emoji28][emoji28]bora wewe me movie izi kali mpya zikitokaga tu lazima niidake alaf nadownload na nyingine lakini apo utakuta siangalii zile kali natulia na za kawaida
 
Fast x nimeona ni movie laini sana isiyo na uhalisia wala chochote zaidi ya magari
Yaani imekaa Kama action comedy yaaani haiwezekani mpaka mwisho jambazi kuu asife
Villan afe wakati movie bado inaendelea ??
 
I mean ni better than Top gun because it's more interesting
Day Shift ni more interesting than Top gun. Kuliko kunihoji sababu moja moja ni heri nije kwenye conclusion

DAY SHIFT na TOP GUN ni MBINGU na ARDHI kwa upande wangu.
Day Shift iko poa kuliko Top gun. That's it
Sijaiangalia DAY SHIFT bdo ila TOP GUN ni Movie ya kawaida sna ni mwendo wa ndege tuu inaboa
 
Back
Top Bottom