Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,195
- 13,785
Kuna kipigo kingine kitatoka humu kama hujaangalia EQUALIZER 1&2 zitafute kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Movie ya hovyo sana bora hata fast 9Villan afe wakati movie bado inaendelea ??
Uko sahihi mkuu movie la hovyo sana hii nimechoma mb zangu tuMoja ya movie za hovyo mwaka huu ni Fast X
Movie yake ilikuwa mbaya ngoja tuone hapa kwenye seriesNausubiri kwa hamu huu mzigoView attachment 2663347
Watu wameshaanza kuipiga majungu kabla haujatokaNausubiri kwa hamu huu mzigoView attachment 2663347
Hapana sio kweliTop gun ndio movie bora kwa mwaka 2022 tatizo wabongo mnataka mkiangalia movie muone muda wote watu wanabutuana hapo ndo mnasema movie kali
Mtazamo wako sikupingiMoja ya movie za hovyo mwaka huu ni Fast X
[emoji23][emoji23] Acha Uongo bhn "Everything Everywhere all at one" ndo ilikuwa Best Movie. Usi Confirm Movie kuwa nzuri kisa imebeba Tuzo unakosea, Mfano Mwaka "2021-2022" Best Movie ilichukua "DUNE" [emoji1787] Sas ina ubora gani ile n takataka tuuTop gun ndio movie bora kwa mwaka 2022 tatizo wabongo mnataka mkiangalia movie muone muda wote watu wanabutuana hapo ndo mnasema movie kali
TOP GUN hain ubora wanayoisema ni ya kawaida tuu, before sijai check nilion ikisifiwa sn ila nlivoitazam nikashangaa wanasifia nn mbn ya kawaida but kila mtu na mtazamo wake siwapingiHapana sio kweli
Kwangu mimi ili muvi iwe kali sio lazima iwe ya kubutuana muda wote.
Mimi naangalia muvi yoyote ile ila Top gun haikunivutia.
Hakuna haja ya kutafuta sababu za kulaumu wabongo kwenye mambo kama haya, unapaswa kujua tu kwamba sio kila mtu ana mtazamo kama wako
Ngoja tuonee mkuuWatu wameshaanza kuipiga majungu kabla haujatoka
Nasubil mpk zifike episode 5 ntaanza kuangaliaMzigo huu wakuu mna upo rate ngapi?View attachment 2664461
Tumia app ya On streamgoojara mbna sioni sehemu ya kudownload aseeee
sijawai kuielewa hiiNdio hiyo. Ila ukiichukua netnaija inakuja na dual audio utaweza kuitizama na kusikiliza lugha ya kingereza safi kabisaView attachment 2654342