Must see Movies

Must see Movies

Kuna kipigo kingine kitatoka humu kama hujaangalia EQUALIZER 1&2 zitafute kabisa
20230620_120153.jpg
 
FAST X wameleta mzigo wa maana sana.
Hii kitu nimeirudia mara tatu
 
Top gun ndio movie bora kwa mwaka 2022 tatizo wabongo mnataka mkiangalia movie muone muda wote watu wanabutuana hapo ndo mnasema movie kali
Hapana sio kweli
Kwangu mimi ili muvi iwe kali sio lazima iwe ya kubutuana muda wote.
Mimi naangalia muvi yoyote ile ila Top gun haikunivutia.

Hakuna haja ya kutafuta sababu za kulaumu wabongo kwenye mambo kama haya, unapaswa kujua tu kwamba sio kila mtu ana mtazamo kama wako
 
Top gun ndio movie bora kwa mwaka 2022 tatizo wabongo mnataka mkiangalia movie muone muda wote watu wanabutuana hapo ndo mnasema movie kali
[emoji23][emoji23] Acha Uongo bhn "Everything Everywhere all at one" ndo ilikuwa Best Movie. Usi Confirm Movie kuwa nzuri kisa imebeba Tuzo unakosea, Mfano Mwaka "2021-2022" Best Movie ilichukua "DUNE" [emoji1787] Sas ina ubora gani ile n takataka tuu
 
Hapana sio kweli
Kwangu mimi ili muvi iwe kali sio lazima iwe ya kubutuana muda wote.
Mimi naangalia muvi yoyote ile ila Top gun haikunivutia.

Hakuna haja ya kutafuta sababu za kulaumu wabongo kwenye mambo kama haya, unapaswa kujua tu kwamba sio kila mtu ana mtazamo kama wako
TOP GUN hain ubora wanayoisema ni ya kawaida tuu, before sijai check nilion ikisifiwa sn ila nlivoitazam nikashangaa wanasifia nn mbn ya kawaida but kila mtu na mtazamo wake siwapingi
 
Back
Top Bottom