Must see Movies

Must see Movies

Huyu mzee analudi tena na hii kitu mwezi wa 8
20230628_205817.jpg
 
HIDDEN STRIKE INATOKA JULY 6. KAENI MKAO WA KULA.

vipi hakuna muvi imetoka kali nishinde nayo kesho siku kuu?
 
Kama uelewei concept ya multi verse basi hiyo movie uwezi kuielewa
Hamna cha kutoelewa nishaona Sci - Fi nyingi sana latest in Doctor stranger Multiverse madness
Ila haijakaa hovyo kama hii Ya EEall at once nashangaa kwanini imebeba tuzo zote hizo , ndio mana kuna mkuu amesemea ni mambo ya ushoga
 
[emoji1] point yangu ni ileile hiyo movie hujaielewa , kwa walioielewa hiyo ni movie bora ya Sci-fi iliyotoka mwaka jana
 
Sasa nini hakieleweki kwenye ile muvi
Shida ni kwamba hatujaona maajabu zaidi ya kupromote ushoga 2
Ile movie ukiangalia vizuri utagundua kuna watu wanaakili dunia, how come mtu anawaza kutunga story kama ile , how come watu wanakaa chini wanadirect kitu cha tofauti kabisa ambacho watu hawajakizoea kukiona
 
Movie ngapi zimepromote ushoga mwaka jana na hazijashinda tuzo za Oscar???
Sijui ni ngapi
Ila Everything everywhere all at once ni muvi ya kawaida sana hata ukitoa ushoga bado haina uzuri wa kufanya iwe best sci-fi movie 2022
Hata Doctor Strange ya mwaka jana ina afadhali
 
Ile movie ukiangalia vizuri utagundua kuna watu wanaakili dunia, how come mtu anawaza kutunga story kama ile , how come watu wanakaa chini wanadirect kitu cha tofauti kabisa ambacho watu hawajakizoea kukiona
Yeah ni kitu unique na wametumia akili kubwa sana
Ila haimaanishi kila mtu ataipenda
 
Back
Top Bottom