Must see Movies

Must see Movies

mkwaju enzi za mkapa
images.jpg
 
Msaada wakuu tv yangu hai play video zilizo kwenye format ya mkv. Naombeni msaada namna ya kuibadili movie kwenda mp4 kwa quality ileile.
 
Yeah nilisearch nyingine za mfanano na The Americans nikakuta nahiyo Homeland wameiweka juujuu ntaitafuta.

Alaf nmekuja kusoma kumbe wale mke na mume kiuhalisia wameoana kweli(Elizabeth na Phillip)

Homeland usiache kuicheki
S08 [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji1430]
 
Hii movie iliniboa hapo tuu kwa huyo dogo, yn n bora wangetafuta point nyingine ya kuendeleza Game mana dogo alizungua halafu bado akawa hajui akae upande gani yani kwa mama ake anataka na kwa yule baba mkubwa ake nako anapataka.
Kama hiyo story imekuboa basi waandishi wamefanikiwa

Character wanatengenezwa ili kuwaboa , kuwakasilisha,kuwafurahisha audiences
 
Back
Top Bottom