Must see Movies

Must see Movies

1688400849951.jpg
 
Sabasaba inakaribia na hakuna muvi mnashea humu kali yenye vipondo?
1688577140453.png
 
Nmeangalia episode ya kwanza ya Secret invasion ila ni kama nimetoka patupu. Mtu anifafanulie kidogo story inahusu nini.

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Hii mzee unatakiwa uanze kwa kuangalia film za avengers huko, series ya agents of shield. Ukizielewa hizo basi hii secret invasion haitokusumbua sana. Usisahau kuangalia na captain marvel
 
Kuweni makini hii ni cartoon , nilikua nimedownloadia dogo ili weekend hii aangalie ila nikasema ngoja niipitie kwanza maana NETFLIX siwaamini na kweli nakutana na tukio kama hilo la ushoga
20230706_210208.jpg
 
Kuweni makini hii ni cartoon , nilikua nimedownloadia dogo ili weekend hii aangalie ila nikasema ngoja niipitie kwanza maana NETFLIX siwaamini na kweli nakutana na tukio kama hilo la ushoga View attachment 2680449
hizi anime sio nzuri kwa watoto. watoto wataftie animation wainjoy story ila izi anime zmejaa ujinga sana
 
Back
Top Bottom