korokwincho
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 1,054
- 1,269
movie plots nyingi za miaka hii maadui/ Adui mara nyingi hawafi bali wanakufa mastar hii Ipo hasa kwenye horror moviesFast x nimeona ni movie laini sana isiyo na uhalisia wala chochote zaidi ya magari
Yaani imekaa Kama action comedy yaaani haiwezekani mpaka mwisho jambazi kuu asife
Fast x nimeona ni movie laini sana isiyo na uhalisia wala chochote zaidi ya magari
Yaani imekaa Kama action comedy yaaani haiwezekani mpaka mwisho jambazi kuu asife
Mi huwa nasubiri mpaka usiku watu wote wameshalala ndo nijitulize niangalie kwa raha zangu bila bugudha. Ukinikuta nimeconcentrate utasema naenda kufanya mtihani asubuhi😀Hivi kuna mtu mwingine anatabia kama yangu yaani kama nina Movie kaliiii uwa sitamani kuangalia naona kama utamu utaisha ghafla
yaani kila siku naupitaga jpo kma ndo mambo yanguHuu mzigo nao si haba
Nilikua nasuuza macho kusubiria game sijaumaliza ila so far naona uko vzr...pita nao tuyaani kila siku naupitaga jpo kma ndo mambo yangu
Movie hii sijaependa kabisa yaanimovie plots nyingi za miaka hii maadui/ Adui mara nyingi hawafi bali wanakufa mastar hii Ipo hasa kwenye horror movies
nb. hyo mafast and furious sijawahi kuyapenda sababu ya migari mingi mingi
[emoji28][emoji28]bora wewe me movie izi kali mpya zikitokaga tu lazima niidake alaf nadownload na nyingine lakini apo utakuta siangalii zile kali natulia na za kawaidaMi huwa nasubiri mpaka usiku watu wote wameshalala ndo nijitulize niangalie kwa raha zangu bila bugudha. Ukinikuta nimeconcentrate utasema naenda kufanya mtihani asubuhi[emoji3]
Mmataka mziamgalie lini sasa[emoji28][emoji28]bora wewe me movie izi kali mpya zikitokaga tu lazima niidake alaf nadownload na nyingine lakini apo utakuta siangalii zile kali natulia na za kawaida
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]basi tu akili inafanya kama haitaki vileMmataka mziamgalie lini sasa
Alililia wembeJamaa akaamua amwambie dogo ukweli tu [emoji28][emoji28]View attachment 2662663View attachment 2662664
John Wick ni ovyo sijaielewa kabsa!! Fast X ni ya motoo [emoji95][emoji95]Fast X Vs John Wick 4
Your opinion please [emoji2960][emoji2960]
Villan afe wakati movie bado inaendelea ??Fast x nimeona ni movie laini sana isiyo na uhalisia wala chochote zaidi ya magari
Yaani imekaa Kama action comedy yaaani haiwezekani mpaka mwisho jambazi kuu asife
Sijaiangalia DAY SHIFT bdo ila TOP GUN ni Movie ya kawaida sna ni mwendo wa ndege tuu inaboaI mean ni better than Top gun because it's more interesting
Day Shift ni more interesting than Top gun. Kuliko kunihoji sababu moja moja ni heri nije kwenye conclusion
DAY SHIFT na TOP GUN ni MBINGU na ARDHI kwa upande wangu.
Day Shift iko poa kuliko Top gun. That's it
Moja ya movie za hovyo mwaka huu ni Fast XJohn Wick ni ovyo sijaielewa kabsa!! Fast X ni ya motoo [emoji95][emoji95]
Top gun ndio movie bora kwa mwaka 2022 tatizo wabongo mnataka mkiangalia movie muone muda wote watu wanabutuana hapo ndo mnasema movie kaliSijaiangalia DAY SHIFT bdo ila TOP GUN ni Movie ya kawaida sna ni mwendo wa ndege tuu inaboa