Mwananchi B
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 1,885
- 4,131
Mission: Impossible (1996)
Mission: Impossible 2 (2000)
Mission: Impossible III (2006)
Mission: Impossible – Ghost Protocol (2011)
Mission: Impossible – Rogue Nation (2015)
Mission: Impossible – Fallout (2018)
Mission: Impossible – Dead Reckoning Part One 2023
Mission: impossible-dead reckoning part two 2024
Oppenheimer itakuwa bonge moja la movie, C.Nolan hajawahi kutoa kazi mbovu.
Movie imejaa mastaa watupu, halafu chuma ni 3 hours
Hii movie Kali sana sema walitaka kujaribu wakati wale madogo wanarudi townAngalia BLOOD AND GOLD 2023
Walizidisha mkono sana mpaka utamu ukaisha ngoja tusubiri part 3Kafit sana huyu dada aisee! Ila extraction bonge la movie[emoji91][emoji91]
Ni mapigano mwanzo mwisho. Hayo ndio mambo tunatakaWalizidisha mkono sana mpaka utamu ukaisha ngoja tusubiri part 3
[emoji1783]ila movie za C. Nolan lazima utulize akili
Netflix naona wametoa trailer la movie inayomuhusu Berlin wa Money Heist, kwa upande wangu nahisi itakuwa nzuri maana BERLIN ni moja ya character aliependwa sana hasa baada ya kuonyeshwa plan za heists alivyokuwa anapanga na pia ni mtu wa misimamo
Na anaakili balaaJamaa nilimpenda kwenye speech tu, anatema speech balaa.
Kaka nimeicheck Yts siipati hiiYou want the gold? You can have it
Name of the movie
blood and gold 2023
View attachment 2695659View attachment 2695660
Hii muvi ukiichukulia kwenye platform zenye HD itakuja kwa lugha ya kifaransa. Kuepuka hilo niliichukua netnaija ambapo ilikuja na dual audio na nili enjoy kama kawaida kama kwako swala la lugha sio tatizo unaweza kuisaka kwingineKaka nimeicheck Yts siipati hii
Kaka nimeicheck Yts siipati hii
Shukrani imeisha iyo
Hebu nihabarishe kuhusu huyo unlockedShukrani imeisha iyoView attachment 2696735
Ya kiboya sana nmepoteza mbs zangu tu anyway inahusu kuna mdada alidondosha simu aliiokota jamaa(hacker na fundi simu) dem alimpigia simu kumuomba amrudishie jamaa akapasua kioo ili simu aweze kuitengeneza akija mwenyewe kweli akafanikiwa kuitengeneza lakini akaihack kwa kuhamisha data zote kwenye simu nyingine ya kwake, mdada alivyoondoka ikawa kila anachofanya jamaa anaona na kusikia yaani kama simu moja tu hadi camera yeye anaweza tumia, alimsababishia dem matatzo kibao kama kumpostia vitu picha za kuichafua kampuni yake anayofanya kazi n.kHebu nihabarishe kuhusu huyo unlocked
Pole sana 😁😁Ya kiboya sana nmepoteza mbs zangu tu anyway inahusu kuna mdada alidondosha simu aliiokota jamaa(hacker na fundi simu) dem alimpigia simu kumuomba amrudishie jamaa akapasua kioo ili simu aweze kuitengeneza akija mwenyewe kweli akafanikiwa kuitengeneza lakini akaihack kwa kuhamisha data zote kwenye simu nyingine ya kwake, mdada alivyoondoka ikawa kila anachofanya jamaa anaona na kusikia yaani kama simu moja tu hadi camera yeye anaweza tumia, alimsababishia dem matatzo kibao kama kumpostia vitu picha za kuichafua kampuni yake anayofanya kazi n.k
NB.Ngumi hamna kabisa ni mbaya tu hakuna mfano ni ya kikorea halaf
[emoji28]imeniuma sana unajua hawa wanaopromote movie sometimes wanatujaza sana, me nakumbuka nilimsikia jamaa mmoja hivi insta anaielezea sasa kipande alichoelezea ndo kikafanya niidownload kumbe hamna kituPole sana [emoji16][emoji16]