Must see Movies

Must see Movies

Mission: Impossible (1996)

Mission: Impossible 2 (2000)

Mission: Impossible III (2006)

Mission: Impossible – Ghost Protocol (2011)

Mission: Impossible – Rogue Nation (2015)
Mission: Impossible – Fallout (2018)

Mission: Impossible – Dead Reckoning Part One 2023

Mission: impossible-dead reckoning part two 2024

Mission impossible niliyoivulia kofia ni hiyo The Rogue Natio.

"Benji benji do you copy" Benji benji
 
Netflix naona wametoa trailer la movie inayomuhusu Berlin wa Money Heist, kwa upande wangu nahisi itakuwa nzuri maana BERLIN ni moja ya character aliependwa sana hasa baada ya kuonyeshwa plan za heists alivyokuwa anapanga na pia ni mtu wa misimamo
 
You want the gold? You can have it
Name of the movie

blood and gold 2023
Screenshot_20230721-225347.png
Screenshot_20230721-225320.png
 
Netflix naona wametoa trailer la movie inayomuhusu Berlin wa Money Heist, kwa upande wangu nahisi itakuwa nzuri maana BERLIN ni moja ya character aliependwa sana hasa baada ya kuonyeshwa plan za heists alivyokuwa anapanga na pia ni mtu wa misimamo

Jamaa nilimpenda kwenye speech tu, anatema speech balaa.
 
Kaka nimeicheck Yts siipati hii
Hii muvi ukiichukulia kwenye platform zenye HD itakuja kwa lugha ya kifaransa. Kuepuka hilo niliichukua netnaija ambapo ilikuja na dual audio na nili enjoy kama kawaida kama kwako swala la lugha sio tatizo unaweza kuisaka kwingine
 
Hebu nihabarishe kuhusu huyo unlocked
Ya kiboya sana nmepoteza mbs zangu tu anyway inahusu kuna mdada alidondosha simu aliiokota jamaa(hacker na fundi simu) dem alimpigia simu kumuomba amrudishie jamaa akapasua kioo ili simu aweze kuitengeneza akija mwenyewe kweli akafanikiwa kuitengeneza lakini akaihack kwa kuhamisha data zote kwenye simu nyingine ya kwake, mdada alivyoondoka ikawa kila anachofanya jamaa anaona na kusikia yaani kama simu moja tu hadi camera yeye anaweza tumia, alimsababishia dem matatzo kibao kama kumpostia vitu picha za kuichafua kampuni yake anayofanya kazi n.k

NB.Ngumi hamna kabisa ni mbaya tu hakuna mfano ni ya kikorea halaf
 
Pole sana 😁😁
 
Pole sana [emoji16][emoji16]
[emoji28]imeniuma sana unajua hawa wanaopromote movie sometimes wanatujaza sana, me nakumbuka nilimsikia jamaa mmoja hivi insta anaielezea sasa kipande alichoelezea ndo kikafanya niidownload kumbe hamna kitu
 
Back
Top Bottom