Must see Movies

Must see Movies

Kama bado hujawatch basi ni kweli kazi kubwa unayo

Sizinga, nmeangalia series kama 20 hv lakini naona kuna nyingine zaidi watu wanazitaja ndomana nasema kazi bado nnayo, na nnapenda kila aliecheki series aziandike ili nzifahamu.
 
Last edited by a moderator:
Movie za zilizochezwa Africa huwa nazihusudu sana, I must also watch this
nenda angalia na hii japo ya 2012
images
 
Olympus has Fallen (2013)...to me this is a movie of all times

Mkuu kama uliipenda hiyn basi tafuta moja inaitwa White House na nyingine inaitwa G.I. Joe.. Kama sikosei mmoja wa waigizaji wake ali igiza ktk series ya Iris. Utazipenda nakwambia.
 
Dah mkuu sijui nikusaidiaje...mi nipo Arusha ninazo 2 of them...ila kama una net nzuri waweza watch online...pia tafuta Not Without My Daughter.-1991

Aise shukrani Mkuu. Nitajaribu kuzichek if. As Mwanza hadi huwa nakata tamaa nikiulizia hizi movies na nikizipata zinakua za akina Lufufu(translated)
 
love story in harvard
kal ho naho
my name is khan
.....

Love story in havard niliifatilia kidogo youtube maana sikupata download links tatizo youtube episode zngine hazipo km unajua pakuishusha nipe link
 
wenye simu za android unaweza kuangalia movie mpya free kupitia applicatio inaitwa new movie inapatikana google play store
 
Hizi ni series.......

1. Jumong.
11. Merlin (hawa waliniuzi)
16. Prison breack ( wameniudhi kiaina maana steringi kumbe shoga-Wentworth Miller)

Hapo namba moja umetisha sana, hiyo mishe nshairudia mara nyingi ila nahisi kuirudia tena....
Merlin bila shaka mwisho wake ndo uliboa..
 
Kwa series bna mimi hua ni mpenzi wa za wakorea
1. Jumong (hakuna kama jamaa)
2. Rooftop prince
3. The winter the wind that blows (funiko)
4. My love from another star
5. Dream High 1 & 2
6. Good doctor
7. Medical Top team
8. My girlfriend is a guminho
9. City Hunter (tisha mbaya)
10. Faith
11. Big
12. Gu family book
13. Love rain (tisha sana)
14. Queen in hyun's man
15. The heirs (tisha sana)
16. Kingdom of the Wind
17. Two weeks
18. A man called God

na nyingine nimezifuta kwenye computer yangu nmezisahau majina... Angalia moja kati ya hizo free time... Tisha sana

Chonaaaaaaa!
 
hivi series nazo ni movies?kwanini mtu asifungue uzi wake wa series mkajaza humo maseries yenu?
 
Hapo namba moja umetisha sana, hiyo mishe nshairudia mara nyingi ila nahisi kuirudia tena....
Merlin bila shaka mwisho wake ndo uliboa..

Jumong huwezi amini, nilikuwa naanza asubuhi mpaka asubuhi (nakesha) pamoja na 24hours mpaka waskaji wakawa wananishangaa tu.........
 
Back
Top Bottom