Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 12,699
- 22,598
1. Comando!
2. Rambo!
3. Yomba Yomba!
2. Rambo!
3. Yomba Yomba!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja nizame chimbo kuitafuta.Aisee ni kali sana...utanambia
Unamaanisha White House Down?daaahhh...hii movie imechezwa na actors wawili tofauti!! ya kwanza niile wapo wakorea ya pili niile ya ya mmarekani(nimemsahau jina)!! sasa hii ya mmarekani nliipenda sana hasa pale yule kid wa actor alipoiokoa ikulu!!! ni movie nzuri sana...
lost inatakiwa in that list
Unamaanisha White House Down?
nashukuru kwa kunikumbusha!!! ndio hiyo hiyo....nliipuzia mwanzoni maana nlizita zote kwa mda mmoja( olympus na white house dwn) lakini baada ya kuianza nlijua jamaa wanatisha!!!!
Lone Survivor, Ice Soldiers na Ice Agent nimeshaziweka katika himaya yangu bado kuzitazama tu....
Nimeangalia online sasa naanza kuzidownload ila iwe kila mara naziangalia...aise hazichoshi kabisa, bonge la muviesNimetamani kuziona na mie
Mwenye kuzifahamu movie za intelligence kwa aliye nazo plz list for me
Dah mkuu sijui nikusaidiaje...mi nipo Arusha ninazo 2 of them...ila kama una net nzuri waweza watch online...pia tafuta Not Without My Daughter.-1991
Hutajuta kuziona.Nimetamani kuziona na mie