Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh aisee..good!! Ngoja nizitafute ambazo sikuwa nazo.Enemy of the state, born legacy, born supremacy, born altimatum, columbus has fallen, white house down na series kama 24hrs, missing, travellor, strike back, jukita etc. There are so many to mention mkuu
Series ni
1. robin hood
2. Blacklist
3. Sleep hallow
4. Hostage
Nipe contacts zako nikuelekeze nilipo.Asee mi nko arusha univesty pia vp waweza nielekeza uko api unisaidie brow
hiyo kitu Lost achana nayo, my favorite actors humo alikuwa Sawyer na John Locke. Ila sikupenda namna ilivyoisha....unakumbuka pale yule mteja charlie anakufa kwenye ile boat?
IT'S NOT CHARLIE'S BOAT.
1. Captain Phillips-2013
![]()
![]()
![]()
![]()
2. My Sister's Keeper-2009
![]()
Hizi ni series.......
1. Jumong.
2. Nikita.
3. Revolution.
4. Irisi.
5. Revenge.
6. The game of thrones.
7. Dae de joyoung.
9. The secret circle.
10. Legend of the seeker.
11. Merlin (hawa waliniuzi)
12. Fast and furius.
13. Alphas.
14. Arrow.
15. 24 hours
16. Prison breack ( wameniudhi kiaina maana steringi kumbe shoga-Wentworth Miller)
me pia sikupenda ilivyoisha, ila nimegundua hizi series nyingi huwa wanashindwa kuzimalizia ndo mana stori huanza vzr ikikaribia mwisho wana vurunda hata heros kama ulishaiona mwisho waliiharibu sanahiyo kitu Lost achana nayo, my favorite actors humo alikuwa Sawyer na John Locke. Ila sikupenda namna ilivyoisha....
Nahisi wanakuwa wamechoka si unajua kamba hukatikia pembamba na pia mwisho wa safari ndio mgumu!!me pia sikupenda ilivyoisha, ila nimegundua hizi series nyingi huwa wanashindwa kuzimalizia ndo mana stori huanza vzr ikikaribia mwisho wana vurunda hata heros kama ulishaiona mwisho waliiharibu sana
Enemy at the gates
Season 5 hawakuiandaa kwa ubora wa season zilizo pita, WALIFANYA KIBIASHARA ZAIDI kuliko kazi.Merlin walikuuzi nini?
ndo mana nikasema huwa wanavurunda zikifika mwishoni, hata tree hill kama ulishaiangalia waliilazimsha kuendelea wakakosa stori basi ikawa majanga matupu mvuto ukaishaSeason 5 hawakuiandaa kwa ubora wa season zilizo pita, WALIFANYA KIBIASHARA ZAIDI kuliko kazi.
ndo mana nikasema huwa wanavurunda zikifika mwishoni, hata tree hill kama ulishaiangalia waliilazimsha kuendelea wakakosa stori basi ikawa majanga matupu mvuto ukaisha
Series za kikorea wao hawanaga utani na kazi, mwanzo mwisho utanu.
haswaa japo nimeziona chache lakini hakuna nilioina nikajuta kuanzia za love stori mpaka za action zote huwa nzuri mwanzo mwisho alafu kinachonivutiaga zaidi hawana ma sex scene na uvaaji wao ni wa heshima sio kama za wazungu lakini still zinamvuto sana