Must see Movies

Must see Movies

sio ya wasouth korea hiyo. Ni ya kivita inahusu mauaji na ubakaji katika vita ya wenyewe kwa wenyewe katika bara la Africa. Usipolia wewe mgumu. Itafute hutajuta kuiangalia. Humo ndani yupo Bruce Willis na wengineo.
Mkuu Katavi kumbe na wewe ni kijana wa sasa, naona upoupo sana kwenye muvies...I like that..Bruce Willis huwa hakoseagi huyu actor..i have to watch this
 
Last edited by a moderator:

1. Enemy at the gate
2.Mama
3.A walk to remember
4.Pursuit of happiness
5.Lone survivor
6.A walk in the cloud
7.The Shawshank redemptio
8.Invictus
9.The lord of the rings
10.Inceptio
11.Memento
12.The green mile
13.Argo
14.Stand by Me


I have seen a lot of good movies, lets end here for today.
 
exam, japo ni ya zamani lakini naipenda wanavyotumia akili na uwezo mkubwa wa kufikiria
 
Mkuu Katavi kumbe na wewe ni kijana wa sasa, naona upoupo sana kwenye muvies...I like that..Bruce Willis huwa hakoseagi huyu actor..i have to watch this

Ha ha ha haaah!! Mkuu mimi ni kijana wa sasa haswaa, itafute aisee hiyo tears of the sun uone namna Bruce Willis alivyocheza.
 
Kwa wapenzi wa movies za action na ucheshi ndani yake Jackie Chan anahusika sana, tafuta movie yake yoyote hutajuta kuangalia. Zaidi movie zake unaweza kuangalia na familia bila kuwa na hofu na scene za ajabu kama vile za mapenzi.
 
kuna movie moja ya vichekesho inaitwa ''this is the end'' ni nzuri inafurahisha kutizama
 
cheki the ninth gate ya johhy depp na the divide pia blood heat.
 
song of lawino?,,,mabala the farmer? okonkwo? zote izo ni mpya zinatoka kesho
 
Jamini Captain America vipi ishatoka???!! mpaka ninazo Ride along na Noah....zimetulia vibaya mnoo.
 
Hi Team,
Naona ukumbi umepoa sana....
Wapi <b><a href="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=1397" target="_blank">BAK</a></b>, <b><a href="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=66516" target="_blank">beli</a></b>ndJacob, <b><a href="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=19087" target="_blank">Fixed Point</a></b> et al;

Naomba this Friday, tujitahidi kucheki hii kitu.

[video]http://www.imdb.com/title/tt0831387/?ref_=ttmd_md_nm[/video]
 
Back
Top Bottom