The Listener
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 993
- 216
enemy at the gate sounds good. I have to find one
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hiyo kitu Lost achana nayo, my favorite actors humo alikuwa Sawyer na John Locke. Ila sikupenda namna ilivyoisha....
Series za kikorea wao hawanaga utani na kazi, mwanzo mwisho utanu.
mbona Ires wamevurundaa
Jamaa lilikuwa korofi balaa na likasababisha kuchukiwa na wenzake kimtindo. Lilikuwa linajiamini na halikumkubali Jack kabisa kuwa kiongozi wao.haahaahaa Sawyer anytime yy ni son of bitch
Huwezi linganisha na za wazungu.mbona Ires wamevurundaa
Defiance.
Continuum.
The following.
Zero hour.
Hannibal.
Da vinci's demons.
Hemlock groove.
Last resort.
African.
Nashville.
Happy endings.
Lost girl.
Warehouse 13
Homeland.
The american dreams.
Shameless.
Cult.
A gifted man
Blue bloods
The mentalist
Undercover boss
The amazing race
Crossing line,
return of iljimae
The tommorows people
twisted
Gu family book
The newsroom
Unforgettable
Perception
The great escape
American dad
Futurama
Weeds
Top gear
Dracula
The tommorow people
Reign
The voice
Grimm
Ironside
Played
The Goldbergs
Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
Lone Survivor, Ice Soldiers na Ice Agent nimeshaziweka katika himaya yangu bado kuzitazama tu....
Tears of the sun unaweza ukalia.
Muvi imefanyikia NIGER, inaelezea makomando wa USA na vita iliokuwa inaendelea eneo lile la NIGER, kilichopo humo ndani ni utata mtupu na huwezi amini dah........., ni nzuri kwa kweli, nnayo kwenye pc yangu.Nimejaribu kuitafuta hii nimeikosa ni ya wasouth korea ama?maana me sipend za kizungu nawapenda sana hawa wa south korea wanatisha lol na napenda za kusikitisha mpaka nilie
sio ya wasouth korea hiyo. Ni ya kivita inahusu mauaji na ubakaji katika vita ya wenyewe kwa wenyewe katika bara la Africa. Usipolia wewe mgumu. Itafute hutajuta kuiangalia. Humo ndani yupo Bruce Willis na wengineo.Nimejaribu kuitafuta hii nimeikosa ni ya wasouth korea ama?maana me sipend za kizungu nawapenda sana hawa wa south korea wanatisha lol na napenda za kusikitisha mpaka nilie
Kati ya top 3 ya movies kali nilizowahi kuziona hii inashika namba moja......Muvi imefanyikia NIGER, inaelezea makomando wa USA na vita iliokuwa inaendelea eneo lile la NIGER, kilichopo humo ndani ni utata mtupu na huwezi amini dah........., ni nzuri kwa kweli, nnayo kwenye pc yangu.
Hii muvi inatia huzuni ni balaa....................Kati ya top 3 ya movies kali nilizowahi kuziona hii inashika namba moja......
Zile zinazoonyeshwa katika tv chaneli za bongo kama Jumong n.k huzipendi?Mwenye list ya picha kali za hawa wa south Korea anipatie ukiondoa
IRIS
CITY HUNTER
CRUSH THE COCKROACH
A MOMENT TO REMEMBER
MEMORIES OF MURDER
BAD
MY SASSY GIRL
GODDES OF THE WAR
THE CHASER
OLD BOY
MAN CALLED GOD........AMBAYO SIJAITAJA YA ACTIONS YENYE KUHUZUNISHA SANA NA KUKUFANYA ULIE AORODHESHE
Nilijikuta namwaga chozi bila kupenda....Hii muvi inatia huzuni ni balaa....................
sio ya wasouth korea hiyo. Ni ya kivita inahusu mauaji na ubakaji katika vita ya wenyewe kwa wenyewe katika bara la Africa. Usipolia wewe mgumu. Itafute hutajuta kuiangalia. Humo ndani yupo Bruce Willis na wengineo.
Hapana mkuu zile sizipendi napenda zinazogusa moyo mpaka ukaliaZile zinazoonyeshwa katika tv chaneli za bongo kama Jumong n.k huzipendi?