Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,263
- 18,201
Jamaniiii kweliiiii umenikumbusha hiyo scene,Bonus scene baada ya kufungulia maji kwenye kile kisima pale kijijini, kikosi cha Jack kikaja wakamuita boss " we have another mission " alafu Jack akamgeukia John akamuuliza "do you want to join us" so inaonekana wataenda kufanya mission nyingine wakiwa pamoja
Basi tusubiri japo wamedai hakuna new project so far, so inaweza ikawa na sequel au isiwepo.