Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,263
- 18,201
Jamaniiii kweliiiii umenikumbusha hiyo scene,Bonus scene baada ya kufungulia maji kwenye kile kisima pale kijijini, kikosi cha Jack kikaja wakamuita boss " we have another mission " alafu Jack akamgeukia John akamuuliza "do you want to join us" so inaonekana wataenda kufanya mission nyingine wakiwa pamoja
[emoji28]imeniuma sana unajua hawa wanaopromote movie sometimes wanatujaza sana, me nakumbuka nilimsikia jamaa mmoja hivi insta anaielezea sasa kipande alichoelezea ndo kikafanya niidownload kumbe hamna kitu
Inaitwa Hidden Strike...iko.poa sana! cjui ka kuna mtu anamchukiaga Jackie Chan!![emoji1787]Ile yupo na Jackie Chain umeiona?
Mkuu unatumia app ya torrents au unaingilia google maan nimejaribu kuingilia google lakini wanaleta mengi sijui parimatch na nini ....msaada pleaseKuna mtu kaiona hii Hitmen mpya nimedownload bila kuuliza View attachment 2712346
Mkuu unatumia app kudownload au unaingilia google?Kazi yanzile
View attachment 2703106
App ya üttorent lakini uwa naingia google yts nadownload file then nafungua kwa üttorentMkuu unatumia app ya torrents au unaingilia google maan nimejaribu kuingilia google lakini wanaleta mengi sijui parimatch na nini ....msaada please
Ahsante mkuuApp ya üttorent lakini uwa naingia google yts nadownload file then nafungua kwa üttorent
VyoteMkuu unatumia app kudownload au unaingilia google?
inaitwajeEeh Jackie aliwahi kuitoa maiti, ila alijua kumpelekesha, ki Jackie kinateleza tu nikasema leo John kayakanyaga, mwili mkubwa vs mwili mdogo, na pale wapo kwenye yale makorongo John anamuuliza "what should we do?" anamjibu "i have a plan"mara wote watatu wanaonekana wanapiga kelele "heeeeeeeeeelp" nilicheka sana,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Hidden Strikeinaitwaje
nitaitafuta inshalahHidden Strike
Sikuipenda ata sio nzuriLimetoka leo mimi nimedownload bado sijaangaliaView attachment 2708528
Haina ishu hiyoSikuipenda ata sio nzuri
Hamna kazi hapoLimetoka leo mimi nimedownload bado sijaangaliaView attachment 2708528
Hizo movie za low bajeti ni kama za kibongo tuuhHamna kazi hapo
Story itarudi nyuma miaka ya 1970 kuonyesha namna winston alivyoipata hotel ya continental,itakuwa na epsode 3Kuna kigongo kinaletwa mwezi september kinaitwa
THE CONTINENTAL from john wick world
Naona mkono utatembezwa humo ni balaa usikose
View attachment 2734558View attachment 2734557
Hapo ndo patamu mi kinachonifurahisha ni mkono uliomoStory itarudi nyuma miaka ya 1970 kuonyesha namna winston alivyoipata hotel ya continental,itakuwa na epsode 3