Must see Movies

Must see Movies

Nimeona anatajwa Tom ,Idris na Holland
Holland????
Holland sidhani kaka, mm niliona wanawazungumzia sana Tom Hardy, Henry Cavill na Idris Elba
-maybe umechanganya kati ya Henry Cavill na tom Holland

James Bond ni character ya mwanaume wa 30s au 40s, Tom Holland ni kijana mdogo sana, he doesn't fit in That Role

-OR maybe wanataka wafanye mabadiliko, but it's very unlikely
 
Nimeona anatajwa Tom ,Idris na Holland
Hata huyo Idris Elba sidhani kama atapata hio role🤣🤣🤣

James bond is an White English spy(blonde), a MI6 agent, whose code is 007

Wakianzisha a black James Bond itakuwa bonge Moja la twist🤣🤣🤣
 
The Harder They Fall.... One of the best👏
20211128_090308.jpg
 
Mie pia iliniliza. Na kuniwacha na mawazo kama siku mbili hivi. Ikabidi niende Google kuona kama based on a true story or not. Nikaona kumbe ni utunzi tu wa film. Walau nlipata afueni
Na imekaa kama true story.
Huyo aliyetunga hiyo alifikiria nini sjui jaman mmh but it's a nice movie
 
inahusu nini?
Enzi zile za Hitler aliamua kuwau waisraeli wote ujerumani na nchi alizozikalia
Akatengeneza concentration camp kazi yake ilikua ni kuwakusanya waisraeli wote na baadhi ya jamii na kuwachoma moto

Kuna mkuu mpya wa kambi alihamia hapo camp, kwa bahati mwanae akawa anatoroka nyumbani na kwenda hadi kwenye camp kwa nje ya fance
Akafanya urafiki na kijana wa kiisraeli ndani ya camp
Siku moja wakakubaliana yule mtoto wa kiisraeli amtafutie uniform kama za wafungwa kisha wachimbe aingie ndani ya camp
Siku ameingia tu ndio siku yule mtoto batch yao inaingizwa kwenye tanuru la kuchomwa na gas,
Basi yule mtoto wa kiongozi wa kambi na yeye akaswagwa hadi ndani ya chemba
Huku nyuma wazazi baada ya kumtafuta hawamuoni wakamfuatilia na kubaini yupo ndani ya camp na nguo kaacha nje ya fance baada ya kuchimba na kuingia.........it was too late
 
Staa alikuwa muisrael au huyo dogo aliyekufa?
 
Kuna move kujua star kiongozi huwa ni kipengele

Kwa jinsi nikivyoona mimi nadhani huyo mtoto wa kijerumani ambaye baba yake ndio alikua mkuu wa kambi ndio staring

Kwajinsi alivyoonesha urafiki wa dhati kwa mwenzie ambaye alikua kwenye kambi ya mateso na kifo, alikua anampelekea vyakula na actually aliingia kambini kumsaidia kumtafuta baba yake na muisraeli ndio balaa likamkuta
Ingawa kale katoto ka kiisraeli nako kalikua kana tia simanzi sana kwa namna kalivyokua kanasimulia majanga yake

Mwishoni wote walikufa
Huzuni kubwa ni kwamba baba mtu ndio mtoa order wauwawe na walipo gundua yupo kwenye chemba ile harakati ya kujaribu ku abort order ilikua too late

Binafsi nilifarijika kidogo sababu wajurumani nao waliona machungu ya kuua wenzao kama kunguni

Hebu fanya kuitafuta ntakumalizia utamu bure
 
The little boy was so loving maskini. Kama mama yake.

Lkn yule dadaake Ana roho ya kihitla haswa
 
Sana sana.

Kuna aloiona hii hapa [emoji116]naskia nayo bomba.

I love dramas View attachment 2032931

Iko poa sana kama unapenda romantic movies

Nimeangalia movie nyingi sana za utawala wa ki NAZI chini ya Hittler baada ya kuona documentary moja ikielezea utawala wake na consecration camp waliko pelekwa waisrael na POW

Ikabidi ni Google na kupata collection ya kutosha ya movies za kinazi

My favorite is:

The great ascape
Escaping from Sabibor
Schendler’s List
The Pianist
Book Thief
Life Is Beautiful
The Boy In The Striped Pajama
 
Back
Top Bottom