Copolla
JF-Expert Member
- Jul 26, 2021
- 232
- 571
Suicide squad ya 2016 ni matapishi kwa upande wangu, David ayer alizingua kweny ile movie kwa mawazo yangu, movie alioipatia maybe "Fury" ya 2014...ila James Gunns' Suicide squad(2021) mm nimeiona nzuri kwa upande wangu, maana yule jamaa ni fundi aisee, tena saaaana....jamaa ndio alie direct na akaandika screen plays za Guardians of the galaxy zote mbili, kwaio nilijua tuu hawez kuzingua kweny suicide squad 2Sema sijasema kuwa ni actor mbaya hamna ila... will smith alibadilisha muonekano pia... Suicide Squad ikawa mbovu anyway japo performance yake ilikuwa nzuri