Must see Movies

Must see Movies

Sema sijasema kuwa ni actor mbaya hamna ila... will smith alibadilisha muonekano pia... Suicide Squad ikawa mbovu anyway japo performance yake ilikuwa nzuri
Suicide squad ya 2016 ni matapishi kwa upande wangu, David ayer alizingua kweny ile movie kwa mawazo yangu, movie alioipatia maybe "Fury" ya 2014...ila James Gunns' Suicide squad(2021) mm nimeiona nzuri kwa upande wangu, maana yule jamaa ni fundi aisee, tena saaaana....jamaa ndio alie direct na akaandika screen plays za Guardians of the galaxy zote mbili, kwaio nilijua tuu hawez kuzingua kweny suicide squad 2
 
Kweli nimeamin kila mtu na mtazamo wake binafsi naona nafuu Suicide Squad ya kwanza lakini hii ya 2021 nimeona ni Utumbo wa kiwango cha juu Tunaanza na yule Weasel what his deal [emoji28]halafu kuna Pete Davidson dah yeye ilipaswa abaki kwenye SNL sketches tu.

Sema nimependa kitu Kimoja zile chapters walivyokuwa wanaziandika kwenye screen kwa ubunifu nilipenda sana, kiukweli was one of the best thing kwenye ile movie besides Rick Flag death
 
No time to die...must to watch
20211110_210315.jpg
 
Suicide squad ya 2016 ni matapishi kwa upande wangu, David ayer alizingua kweny ile movie kwa mawazo yangu, movie alioipatia maybe "Fury" ya 2014...ila James Gunns' Suicide squad(2021) mm nimeiona nzuri kwa upande wangu, maana yule jamaa ni fundi aisee, tena saaaana....jamaa ndio alie direct na akaandika screen plays za Guardians of the galaxy zote mbili, kwaio nilijua tuu hawez kuzingua kweny suicide squad 2
Bhasi kweli binadamu tupo tofauti... Ile ya 2016 me naona ndo balaa aisee hii ya sasa hivi hata sio habari utopolo tu kama Fast amd Furious mpya[emoji3]
 
Upheld brother 👏👏👏
Nakubaliana na ww kweny fast and furious ila kweny suicide squad nakataa kabisa tutabishana Hadi kesho😅😅😅

Rikiboy, huwez ukawa serious kwamba suicide squad ya 2016 ni nzuri kuliko ya mwaka huu mzee, oyaa nyie vp😅😅😅 MNAZINGUA KIMSINGI....
Nakosa Hadi maneno ya kuongea bhana😅😅😅
Ile ya 2016 imekaa kitoto sana Kwa upande wangu, yaan kiufupi ni jau
 
Upheld brother [emoji122][emoji122][emoji122]
Nakubaliana na ww kweny fast and furious ila kweny suicide squad nakataa kabisa tutabishana Hadi kesho[emoji28][emoji28][emoji28]

Rikiboy, huwez ukawa serious kwamba suicide squad ya 2016 ni nzuri kuliko ya mwaka huu mzee, oyaa nyie vp[emoji28][emoji28][emoji28] MNAZINGUA KIMSINGI....
Nakosa Hadi maneno ya kuongea bhana[emoji28][emoji28][emoji28]
Ile ya 2016 imekaa kitoto sana Kwa upande wangu, yaan kiufupi ni jau

Tarantino kaangalie Honest Trailer YouTube ya TSS hii ya 2021 utaona perspective ya watu wengine pia
 
Back
Top Bottom