Holland????Nimeona anatajwa Tom ,Idris na Holland
Hata huyo Idris Elba sidhani kama atapata hio role🤣🤣🤣Nimeona anatajwa Tom ,Idris na Holland
The Boy in the Striped Pajamas inasikitishaaa, ilinitoa kachozi siwez isahauThe boy in the stripped pajamas. Ya 2008.
Napenda such dramas. Imenisikitisha lkn [emoji24][emoji24][emoji24]View attachment 2006290
Mie pia iliniliza. Na kuniwacha na mawazo kama siku mbili hivi. Ikabidi niende Google kuona kama based on a true story or not. Nikaona kumbe ni utunzi tu wa film. Walau nlipata afueniThe Boy in the Striped Pajamas inasikitishaaa, ilinitoa kachozi siwez isahau
Na imekaa kama true story.Mie pia iliniliza. Na kuniwacha na mawazo kama siku mbili hivi. Ikabidi niende Google kuona kama based on a true story or not. Nikaona kumbe ni utunzi tu wa film. Walau nlipata afueni
inahusu nini?Na imekaa kama true story.
Huyo aliyetunga hiyo alifikiria nini sjui jaman mmh but it's a nice movie
Matabaka matajiri na maskini/watumwa....inahusu nini?
Enzi zile za Hitler aliamua kuwau waisraeli wote ujerumani na nchi alizozikaliainahusu nini?
Staa alikuwa muisrael au huyo dogo aliyekufa?Enzi zile za Hitler aliamua kuwau waisraeli wote ujerumani na nchi alizozikalia
Akatengeneza concentration camp kazi yake ilikua ni kuwakusanya waisraeli wote na baadhi ya jamii na kuwachoma moto
Kuna mkuu mpya wa kambi alihamia hapo camp, kwa bahati mwanae akawa anatoroka nyumbani na kwenda hadi kwenye camp kwa nje ya fance
Akafanya urafiki na kijana wa kiisraeli ndani ya camp
Siku moja wakakubaliana yule mtoto wa kiisraeli amtafutie uniform kama za wafungwa kisha wachimbe aingie ndani ya camp
Siku ameingia tu ndio siku yule mtoto batch yao inaingizwa kwenye tanuru la kuchomwa na gas,
Basi yule mtoto wa kiongozi wa kambi na yeye akaswagwa hadi ndani ya chemba
Huku nyuma wazazi baada ya kumtafuta hawamuoni wakamfuatilia na kubaini yupo ndani ya camp na nguo kaacha nje ya fance baada ya kuchimba na kuingia.........it was too late
Kuna move kujua star kiongozi huwa ni kipengeleStaa alikuwa muisrael au huyo dogo aliyekufa?
Sana sana.Na imekaa kama true story.
Huyo aliyetunga hiyo alifikiria nini sjui jaman mmh but it's a nice movie
Sijaiona hii ila title imenivutia. Itabidi niitafute
The little boy was so loving maskini. Kama mama yake.Kuna move kujua star kiongozi huwa ni kipengele
Kwa jinsi nikivyoona mimi nadhani huyo mtoto wa kijerumani ambaye baba yake ndio alikua mkuu wa kambi ndio staring
Kwajinsi alivyoonesha urafiki wa dhati kwa mwenzie ambaye alikua kwenye kambi ya mateso na kifo, alikua anampelekea vyakula na actually aliingia kambini kumsaidia kumtafuta baba yake na muisraeli ndio balaa likamkuta
Ingawa kale katoto ka kiisraeli nako kalikua kana tia simanzi sana kwa namna kalivyokua kanasimulia majanga yake
Mwishoni wote walikufa
Huzuni kubwa ni kwamba baba mtu ndio mtoa order wauwawe na walipo gundua yupo kwenye chemba ile harakati ya kujaribu ku abort order ilikua too late
Binafsi nilifarijika kidogo sababu wajurumani nao waliona machungu ya kuua wenzao kama kunguni
Hebu fanya kuitafuta ntakumalizia utamu bure
The boy in the stripped pajamas. Ya 2008.
Napenda such dramas. Imenisikitisha lkn [emoji24][emoji24][emoji24]View attachment 2006290
Daaah, hii movie naikubali sana, ilinihuzunisha sana, Spielberg alitishaSchendler’s List