BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii movie inatoka leo.Hapa nishaona huna nia nzuri namimi am looking for that movie and have not watched it YET!!! I do hope they funika namba one so that i enjoy more... at present its number one is still one of my best!
Mkuu mimi movies kama hizo naziita American Dream movies...! Mambo ya Usupa hiro...! Ah ah ah ahMwaka huu naona movie za superheros ni nyingi sana.
Asha D, I could go on and talk about this movie till Kingdom Come...maana kuna parts nyingi nazikumbuka kama hiyo ya bumble bee anayotokea chini ya daraja na kuruka kwenye ukuta.
Hii movie inatoka leo.
Mkuu kweli maana ukiangalia Transfomer 3 jamaa wako kwenye another level kabisa, hata pia kwenye movie ya BATTLE OF LOS ANGLES 2011 Directors na Producers wa hiyo movie walifanya kazi nzuriMkuu mimi movies kama hizo naziita American Dream movies...! Mambo ya Usupa hiro...! Ah ah ah ah
Ila mkuu, wenzetu wametuwacha miaka mia nane na zaidi katika tekinolojia...! Unatazama movie na kama si mtaalam wa goofy, uambulii kitu.
BATTLE OF LOS ANGLES 2011, nimeiona naifananisha na Skyline, najiandaa kuiona T3.Mkuu kweli maana ukiangalia Transfomer 3 jamaa wako kwenye another level kabisa, hata pia kwenye movie ya BATTLE OF LOS ANGLES 2011 Directors na Producers wa hiyo movie walifanya kazi nzuri
Nilipoangalia SKYLINE na BATTLE OF LOS ANGLES 2011 i almost thought the Directors are the sameBATTLE OF LOS ANGLES 2011, nimeiona naifananisha na Skyline, najiandaa kuiona T3.
Kuna jamaa yangu mmoja baada ya kuangalia Skyline na kugundua kuwa Aliens wamewamaliza binadamu wote alikuwa karibu alie... Ah ah ah ah, nikamkumbusha kuwa ile ni filam tu na just a fiction story.Nilipoangalia SKYLINE na BATTLE OF LOS ANGLES 2011 i almost thought the Directors are the same
Ah ah ah ah kuna watu wana roho nyepesi halafu SKYLINE wakati inaisha ambapo mshikaji naye kama vile aligeuka kuwa Alien but still anaweza kumu-identify girlfriend wake ambaye naye yuko trapped that scene niliipenda pia.Kuna jamaa yangu mmoja baada ya kuangalia Skyline na kugundua kuwa Aliens wamewamaliza binadamu wote alikuwa karibu alie... Ah ah ah ah, nikamkumbusha kuwa ile ni filam tu na just a fiction story.
Wall Street: Money Never Sleeps iliniboa sana, I guess nilikuwa na expectation za kuwa itakuwa kama ya kwanza.Ah ah ah ah kuna watu wana roho nyepesi halafu SKYLINE wakati inaisha ambapo mshikaji naye kama vile aligeuka kuwa Alien but still anaweza kumu-identify girlfriend wake ambaye naye yuko trapped that scene niliipenda pia.
Kuna movie zingine mbili INSIDE JOB na WALL STREET MONEY NEVER SLEEPS kidogo hii ya Wall Street nimeipenda ila hii inside Job bit boring movie nzima wanazungumzia Financial Crisis
Filamu kama hizo zinawafaa wachumi na wanasiasa.Wall Street: Money Never Sleeps iliniboa sana, I guess nilikuwa na expectation za kuwa itakuwa kama ya kwanza.