Must see Movies

Must see Movies

Dah! Kumbe mzee wa Mfaranyaki anafanana na Willy Smith!
 
Hapa nishaona huna nia nzuri namimi am looking for that movie and have not watched it YET!!! I do hope they funika namba one so that i enjoy more... at present its number one is still one of my best!
 
Last edited by a moderator:
Asha D, I could go on and talk about this movie till Kingdom Come...maana kuna parts nyingi nazikumbuka kama hiyo ya bumble bee anayotokea chini ya daraja na kuruka kwenye ukuta.
 
Hii movie inatoka leo.
 
Mwaka huu naona movie za superheros ni nyingi sana.
 
Last edited by a moderator:
Hii inaonekana itakuwa inachekesha sana.
 
Last edited by a moderator:
Mwaka huu naona movie za superheros ni nyingi sana.
Mkuu mimi movies kama hizo naziita American Dream movies...! Mambo ya Usupa hiro...! Ah ah ah ah

Ila mkuu, wenzetu wametuwacha miaka mia nane na zaidi katika tekinolojia...! Unatazama movie na kama si mtaalam wa goofy, uambulii kitu.
 
Asha D, I could go on and talk about this movie till Kingdom Come...maana kuna parts nyingi nazikumbuka kama hiyo ya bumble bee anayotokea chini ya daraja na kuruka kwenye ukuta.

That is a wonderful idea... lets do it tomorrow early night (if available) because i will be so into it that morning will come.... i love transformers period.
 
Last edited by a moderator:
BAK umeiona 'The Hangover 2' ?!..julisha me kama iko fresh!!!..

Sijaiona BJ ila nimesikiliza reviews zake ambazo ni very positive hata ya kwanza pia sikuiona. Nataka kwenda kuiona Thor lakini machale yananicheza.
 
Mkuu mimi movies kama hizo naziita American Dream movies...! Mambo ya Usupa hiro...! Ah ah ah ah

Ila mkuu, wenzetu wametuwacha miaka mia nane na zaidi katika tekinolojia...! Unatazama movie na kama si mtaalam wa goofy, uambulii kitu.
Mkuu kweli maana ukiangalia Transfomer 3 jamaa wako kwenye another level kabisa, hata pia kwenye movie ya BATTLE OF LOS ANGLES 2011 Directors na Producers wa hiyo movie walifanya kazi nzuri
 
BATTLE OF LOS ANGLES 2011, nimeiona naifananisha na Skyline, najiandaa kuiona T3.
 
Nilipoangalia SKYLINE na BATTLE OF LOS ANGLES 2011 i almost thought the Directors are the same
Kuna jamaa yangu mmoja baada ya kuangalia Skyline na kugundua kuwa Aliens wamewamaliza binadamu wote alikuwa karibu alie... Ah ah ah ah, nikamkumbusha kuwa ile ni filam tu na just a fiction story.
 
Ah ah ah ah kuna watu wana roho nyepesi halafu SKYLINE wakati inaisha ambapo mshikaji naye kama vile aligeuka kuwa Alien but still anaweza kumu-identify girlfriend wake ambaye naye yuko trapped that scene niliipenda pia.

Kuna movie zingine mbili INSIDE JOB na WALL STREET MONEY NEVER SLEEPS kidogo hii ya Wall Street nimeipenda ila hii inside Job bit boring movie nzima wanazungumzia Financial Crisis
 
Wall Street: Money Never Sleeps iliniboa sana, I guess nilikuwa na expectation za kuwa itakuwa kama ya kwanza.
 
Back
Top Bottom